Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

MCHAWI

Member
Mar 31, 2008
44
6
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
 
Acha kampeni zisizo na kichwa wala miguu, sasa hivi tujikite zaidi kwenye janga la mafuriko na kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwasaidia ndugu zetu walioathirika. Au wewe upo nchi gani hadi huoni kuna top priority agenda on the table?
 
Huyo peter ni vuvùzela hana lolote zaid ya kujipendekeza.huyu dogo tulikuwa nae pale sinza kwa charles miaka ya 2003 akiwa ombaomba tunamsaidia lakin sasa hata ukimsalim anaona kafika.na kwa tabia yake kujikomba wanaweza wakam cameroon.hafai kuongoza na apigwe vita asjekuwa waziri watoto wetu wa kike watakoma
 
The way EL alivyo machine kiutendaji, nadhani Peter ana walakini

Rais na waziri mkuu safari hii watatoka kwa ndugu zetu wa Tanzania visiwani,ni muda mrefu umepita toka wakalie viti hivyo,hili litasaidia sana kudumisha udugu wetu na kuzidi kuaminiana!kama hili haliwezekani basi ni bora awe dr slaa tu tujue moja!
 
The way EL alivyo machine kiutendaji, nadhani Peter ana walakini

Rais na waziri mkuu safari hii watatoka kwa ndugu zetu wa Tanzania visiwani,ni muda mrefu umepita toka wakalie viti hivyo,lowassa labda awe mgombea mwenza tu,hili litasaidia sana kudumisha udugu wetu na kuzidi kuaminiana!kama hili haliwezekani basi ni bora awe dr slaa tu tujue moja!
 
Iwapo Lowassa atakuwa Rais, Mr. Peter lazima atakuwa kwenye baraza la mawaziri lakini sio nafasi ya waziri mkuu. Pamoja na ukweli kwamba hana sifa za kuwa waziri mkuu (inahitaji mtu aliyekwisha shika madaraka ya uwaziri kwa muda mrefu), lazima Mr. Peter atapewa wizara muhimu zinazohitaji ukaribu na utawala kama vile nishati, fedha au utawala bora. Waziri mkuu lazima atakuwa mtu ambae ata balance makundi yatakayojitokeza baada ya uchaguzi mkuu. Lakini yote hii ni iwapo mwenyezi mungu atawafikisha wote hai wa pumzi na viungo mwaka 2015.
 
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.

Naanza kuwatafutia uraia wa nchi nyingine ndugu zangu wote. Kama kuna kitu nimejifunza nchi inayoitwa Tanzania basi ni kutodharau mambo yanayoonekana they are so ridiculous that they can never happen. Wana JF wenzangu, naomba tuilinde nchi yetu kwa kuwa hatutapewa nchi nyingine.

Na kwenu nyie wote mnaowapigia debe kina Lowassa na Serukamba, jueni kuwa mnaiweka rehani nchi yetu sote!
 
Back
Top Bottom