Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,597
17,726
Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho

Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani kateuliwa haya huwa ndo maswali ya kwanza kabisa lakini swali kubwa na la Kiphilosophy na la kielimu sana huwa Why....

Why ni swali nililotegemea kwa Wananchi wengi kuuliza hasa Wanachama wa ccm wenyewe..

Why now wakati nchi ipo kwenye Minong'ono mingi na why now not in 10 years Ago,Why now and not in 20 years ago...
(Akili kichwani mwako sasa...)
Na kilikuwepo Tangu 1985 why hakikuendelea mpaka leo kiwe kinateuliwa kwenye wakati nchi ikIwa kwenye MPASUKO

Kama una Akili timamu lakini THEN LAZIMA UJIULIZE PIA....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Why Dotto Bitteko in 2023

Mara nyingi Hawa Manaibu Waziri wakuu walikuwa wakiteuliwa pale nchi inapoonyesha kugawanyika vipande Huku mihimili ikikaa kimya nitatoa Ufafanuzi kwa kila mmoja hapo juu..

Ndo maana nikasema insteady ya kushabikia mnatakiwa kusali kuomba Mungu kama ndicho ninachokiwaza basi Nchi inaelekea kubaya....

Tatizo vijana wa siku hizi wavivu sana kusoma Historia wao ni kushinda mitandaoni na kufata Jamii au watu wao wanacho amini bila kufata ukweli wa Jambo lenyewe..

SASA NAOMBA MNIAZIME MUDA WENU NIFAFANUE....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Dr Salim A. Salim alikuwa waziri wa ulinzi, na naibu waziri mkuu, wakati wa awamu ya kwanza ya mzee Mwinyi,Na sio nyerere kama watu wanavyosema

Kipindi hicho joseph warioba alikuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.

Kumbuka kuwa Salim Salim ndiyo alichukua nafasi ya Edward Sokoine ambaye alifariki akiwa waziri mkuu.

Kipindi Salim akiwa waziri mkuu, Nyerere alikuwa Raisi, na Mwinyi alikuwa raisi wa ZNZ na makamu wa muungano.

Mwinyi alilazimika kuteua waziri mkuu toka bara baada ya kuchukua madaraka toka kwa Mwalimu Nyerere. Katiba ilikuwa inaelekeza kwamba ikiwa Raisi atatoka ZNZ basi waziri mkuu atatokea Tanganyika na ndiye atakayekuwa makamu wa kwanza wa raisi wa muungano.

..katika mazingira hayo, Joseph Warioba, ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, aliteuliwa kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.
Salim Salim aliteuliwa kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi.

sasa hii ndo situation Ilivyokuwa kwa Usalama wa Nchi Ilikuwa ni Lazima Kufanya hivyo ili Kuepusha migogoro Nchini......

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Nafikiri Wengi wenu Mnaweza mkaelewa Situation Ya Mrema Ilivyokuwa kipindi hicho mpaka Kuteuliwa kuwa NW mkuu..

Naanza na hansard za Bunge, June 24, mwaka wa 2011, Mhe. A. Mrema, (TLP, Vunjo) ambae alikuwa analalamika bungeni kwamba hajapewa mafao yake ya Unaibu Waziri Mkuu .

Hansard, Bunge la Jamhuri: "Mheshimiwa Mwenyekiti... ukiacha kazi utapewa asilimia 80 ya mafao yako ya mshahara wako, nipeni basi hata asilimia 20. Mnasema hiki cheo changu hakikuwa kwenye Katiba, Rais ndiye anaanzisha cheo. Hata Mawaziri wetu wanaanzishwa kwa decree ya Rais. Ilikuwaje cheo ambacho Mwalimu Nyerere alianzisha, akasimamia akakaa pale Dkt. Salum Ahmed Salum, Naibu Waziri Mkuu wa pili Agustino Lyatonga Mrema."

mrema aliteuliwa naibu waziri mkuu katikati ya kipindi cha uwaziri mkuu wa cygwiyemisi malecela, kulitokea malalamiko toka kwa mawaziri wenzake kwamba mrema anawaingilia ktk majukumu yao. sasa ili kuzima malalamiko hayo raisi mwinyi akaona amteue kuwa naibu waziri mkuu.

Malalmiko yalizidi kuwa anaingilia kazi zisizo zake nafikiri wengi wanakumbuka malumbano kati yake na mama Mary Chipsi Chipungahelo

Wakati Mrema ni waziri wa mambo ya ndani alikuwa anafanya mamaamuzi mengi kinyume na sheria hiyo ilisababisha apewe naibu waziri Jaji Mweisumo ili kuzuia serikali kuingia katika migogoro mengi ya kisheria.

SWALI KUBWA LA KUJIULIZA WHY MH BITTEKO NA WHY SASA
Kwa kupitia historia jiulize Why sasa ? nchi inapokuwa kwenye Minong'ono mingine na kutokea kutaka kugawanyika kuhusu Diiipii weedi na Nyaraka mbalimbali za kidini na kiserikali Why baada ya kubdilishwa kwa DG TISS why sasa ??

Nyerere aliwahi kuulizwa kuhusu hiki cheo Mwaka 1986 , aliulizwa, kwa nini kumeanzishwa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba, akajibu, "Katiba haijasema awepo, wala haijakataza asiwepo..."

Huu utata unakuja kwa sababu sisi hatuna "enumerated powers doctrine" kwenye mfumo wa Katiba yetu, kama baadhi ya nchi, ambapo, kama kitu kwenye Katiba hakijasemwa kwamba kiwepo maana yake kimekatazwa!
 
Mkuu serikali Yetu sikivi ikiwa chini Ya Mheshimiwa Dkt Samia H.Suluhu Iko vyema na Hatuitaji kuuliza why tunajua serikali yetu tukufu Inatupenda na iko nyuma yetu...
#KAZI IENDELEE
#KIZIMKAZI FESTIVAL
Mkuu mimi pia ni CCM Damu ila kuuliza kitu sio Kwamba nakuwa mpinzani..
Natimiza AHADI ZA MWANATANU Na IMANI ZA CCM
 
Mkuu serikali Yetu sikivi ikiwa chini Ya Mheshimiwa Dkt Samia H.Suluhu Iko vyema na Hatuitaji kuuliza why tunajua serikali yetu tukufu Inatupenda na iko nyuma yetu...
#KAZI IENDELEE
#KIZIMKAZI FESTIVAL
Mtazamo wako huu unanikumbusha hivi majuzi tukiwa safari huku tukiendeshwa na dreva ambaye kiukweli alikuwa amelewa pombe!
Kwakuwa watu walimwamini hawakutaka kumtilia shaka japo wakati mwingine aliendesha gari isivyo sawasawa, yaani aliendesha kwa kasi kubwa sana au wakati mwingine kupunguza kabisa mwendo!

Huzuni ni kwamba, watu wengi wanahofu ya kumueleza ukweli dreva, hata kama wanaona chombo kinaendeshwa isivyo sawasawa!
Nchi ni yetu sote!
 
Tufanyeni kazi hii nchi ardhi ni kubwa twendeni tukalime tupate chakula cha kutosha.
We unahisi me Sifanyi kazi 🤣🤣🤣🤣 unajua shida wengi Wakisema ukweli mnahisi hawafnyi kazi ila wakisifia Mnawaona ndo wanafanya kazi..
You need to grown up bro...

Hiki kiutaratibu sijui nani kawafundisha Juzi kati pia nilisikia Rais wangu Kipenz naye anasema wanaokosoa Wawatafutie kazi ili waache..
meeehn this S***t inatakiwa iishe ukiona mtu anakosoa means ana kazi enough kujua vyote hivyo na kwa maslahi mapana ya wanaokuja baada yake sio Kwa maslahi yake mwenyewe Ona mifano kwa watu kama Nyerere ........Waheed...
 
Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho

Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani kateuliwa haya huwa ndo maswali ya kwanza kabisa lakini swali kubwa na la Kiphilosophy na la kielimu sana huwa Why....

Why ni swali nililotegemea kwa Wananchi wengi kuuliza hasa Wanachama wa ccm wenyewe..

Why now wakati nchi ipo kwenye Minong'ono mingi na why now not in 10 years Ago,Why now and not in 20 years ago...
(Akili kichwani mwako sasa...)
Na kilikuwepo Tangu 1985 why hakikuendelea mpaka leo kiwe kinateuliwa kwenye wakati nchi ikIwa kwenye MPASUKO

Kama una Akili timamu lakini THEN LAZIMA UJIULIZE PIA....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Why Dotto Bitteko in 2023

Mara nyingi Hawa Manaibu Waziri wakuu walikuwa wakiteuliwa pale nchi inapoonyesha kugawanyika vipande Huku mihimili ikikaa kimya nitatoa Ufafanuzi kwa kila mmoja hapo juu..

Ndo maana nikasema insteady ya kushabikia mnatakiwa kusali kuomba Mungu kama ndicho ninachokiwaza basi Nchi inaelekea kubaya....

Tatizo vijana wa siku hizi wavivu sana kusoma Historia wao ni kushinda mitandaoni na kufata Jamii au watu wao wanacho amini bila kufata ukweli wa Jambo lenyewe..

SASA NAOMBA MNIAZIME MUDA WENU NIFAFANUE....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Dr Salim A. Salim alikuwa waziri wa ulinzi, na naibu waziri mkuu, wakati wa awamu ya kwanza ya mzee Mwinyi,Na sio nyerere kama watu wanavyosema

Kipindi hicho joseph warioba alikuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.

Kumbuka kuwa Salim Salim ndiyo alichukua nafasi ya Edward Sokoine ambaye alifariki akiwa waziri mkuu.

Kipindi Salim akiwa waziri mkuu, Nyerere alikuwa Raisi, na Mwinyi alikuwa raisi wa ZNZ na makamu wa muungano.

Mwinyi alilazimika kuteua waziri mkuu toka bara baada ya kuchukua madaraka toka kwa Mwalimu Nyerere. Katiba ilikuwa inaelekeza kwamba ikiwa Raisi atatoka ZNZ basi waziri mkuu atatokea Tanganyika na ndiye atakayekuwa makamu wa kwanza wa raisi wa muungano.

..katika mazingira hayo, Joseph Warioba, ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, aliteuliwa kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.
Salim Salim aliteuliwa kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi.

sasa hii ndo situation Ilivyokuwa kwa Usalama wa Nchi Ilikuwa ni Lazima Kufanya hivyo ili Kuepusha migogoro Nchini......

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Nafikiri Wengi wenu Mnaweza mkaelewa Situation Ya Mrema Ilivyokuwa kipindi hicho mpaka Kuteuliwa kuwa NW mkuu..

Naanza na hansard za Bunge, June 24, mwaka wa 2011, Mhe. A. Mrema, (TLP, Vunjo) ambae alikuwa analalamika bungeni kwamba hajapewa mafao yake ya Unaibu Waziri Mkuu .

Hansard, Bunge la Jamhuri: "Mheshimiwa Mwenyekiti... ukiacha kazi utapewa asilimia 80 ya mafao yako ya mshahara wako, nipeni basi hata asilimia 20. Mnasema hiki cheo changu hakikuwa kwenye Katiba, Rais ndiye anaanzisha cheo. Hata Mawaziri wetu wanaanzishwa kwa decree ya Rais. Ilikuwaje cheo ambacho Mwalimu Nyerere alianzisha, akasimamia akakaa pale Dkt. Salum Ahmed Salum, Naibu Waziri Mkuu wa pili Agustino Lyatonga Mrema."

mrema aliteuliwa naibu waziri mkuu katikati ya kipindi cha uwaziri mkuu wa cygwiyemisi malecela, kulitokea malalamiko toka kwa mawaziri wenzake kwamba mrema anawaingilia ktk majukumu yao. sasa ili kuzima malalamiko hayo raisi mwinyi akaona amteue kuwa naibu waziri mkuu.

Malalmiko yalizidi kuwa anaingilia kazi zisizo zake nafikiri wengi wanakumbuka malumbano kati yake na mama Mary Chipsi Chipungahelo

Wakati Mrema ni waziri wa mambo ya ndani alikuwa anafanya mamaamuzi mengi kinyume na sheria hiyo ilisababisha apewe naibu waziri Jaji Mweisumo ili kuzuia serikali kuingia katika migogoro mengi ya kisheria

SWALI KUBWA LA KUJIULIZA WHY MH BITTEKO NA WHY SASA
Kwa kupitia historia jiulize Why sasa ? nchi inapokuwa kwenye Minong'ono mingine na kutokea kutaka kugawanyika kuhusu Diiipii weedi na Nyaraka mbalimbali za kidini na kiserikali Why baada ya kubdilishwa kwa DG TISS why sasa ??

Nyerere aliwahi kuulizwa kuhusu hiki cheo Mwaka 1986 , aliulizwa, kwa nini kumeanzishwa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba, akajibu, "Katiba haijasema awepo, wala haijakataza asiwepo..."

Huu utata unakuja kwa sababu sisi hatuna "enumerated powers doctrine" kwenye mfumo wa Katiba yetu, kama baadhi ya nchi, ambapo, kama kitu kwenye Katiba hakijasemwa kwamba kiwepo maana yake kimekatazwa!
Ni mawindo ya kura za SSH kutoka usukumani tu! Ambako ni tishio kwake kuu kwa kujifanya kumnanga mwendazake na kutaka kufuta legacy ya mwendazake. Najua kwa akili za ndege za watanzania na wa kanda ya ziwa watadanganyika sasa hivi na kusikia nani kama mayo! na kankima keupee pe!. Ulaghai!
 
Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho

Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani kateuliwa haya huwa ndo maswali ya kwanza kabisa lakini swali kubwa na la Kiphilosophy na la kielimu sana huwa Why....

Why ni swali nililotegemea kwa Wananchi wengi kuuliza hasa Wanachama wa ccm wenyewe..

Why now wakati nchi ipo kwenye Minong'ono mingi na why now not in 10 years Ago,Why now and not in 20 years ago...
(Akili kichwani mwako sasa...)
Na kilikuwepo Tangu 1985 why hakikuendelea mpaka leo kiwe kinateuliwa kwenye wakati nchi ikIwa kwenye MPASUKO

Kama una Akili timamu lakini THEN LAZIMA UJIULIZE PIA....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Why Dotto Bitteko in 2023

Mara nyingi Hawa Manaibu Waziri wakuu walikuwa wakiteuliwa pale nchi inapoonyesha kugawanyika vipande Huku mihimili ikikaa kimya nitatoa Ufafanuzi kwa kila mmoja hapo juu..

Ndo maana nikasema insteady ya kushabikia mnatakiwa kusali kuomba Mungu kama ndicho ninachokiwaza basi Nchi inaelekea kubaya....

Tatizo vijana wa siku hizi wavivu sana kusoma Historia wao ni kushinda mitandaoni na kufata Jamii au watu wao wanacho amini bila kufata ukweli wa Jambo lenyewe..

SASA NAOMBA MNIAZIME MUDA WENU NIFAFANUE....

Why Dr Ahmed salim Ahmed 1986 -1989

Dr Salim A. Salim alikuwa waziri wa ulinzi, na naibu waziri mkuu, wakati wa awamu ya kwanza ya mzee Mwinyi,Na sio nyerere kama watu wanavyosema

Kipindi hicho joseph warioba alikuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.

Kumbuka kuwa Salim Salim ndiyo alichukua nafasi ya Edward Sokoine ambaye alifariki akiwa waziri mkuu.

Kipindi Salim akiwa waziri mkuu, Nyerere alikuwa Raisi, na Mwinyi alikuwa raisi wa ZNZ na makamu wa muungano.

Mwinyi alilazimika kuteua waziri mkuu toka bara baada ya kuchukua madaraka toka kwa Mwalimu Nyerere. Katiba ilikuwa inaelekeza kwamba ikiwa Raisi atatoka ZNZ basi waziri mkuu atatokea Tanganyika na ndiye atakayekuwa makamu wa kwanza wa raisi wa muungano.

..katika mazingira hayo, Joseph Warioba, ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere, aliteuliwa kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa raisi.
Salim Salim aliteuliwa kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa ulinzi.

sasa hii ndo situation Ilivyokuwa kwa Usalama wa Nchi Ilikuwa ni Lazima Kufanya hivyo ili Kuepusha migogoro Nchini......

Why Augustino Mrema in 1993-1994

Nafikiri Wengi wenu Mnaweza mkaelewa Situation Ya Mrema Ilivyokuwa kipindi hicho mpaka Kuteuliwa kuwa NW mkuu..

Naanza na hansard za Bunge, June 24, mwaka wa 2011, Mhe. A. Mrema, (TLP, Vunjo) ambae alikuwa analalamika bungeni kwamba hajapewa mafao yake ya Unaibu Waziri Mkuu .

Hansard, Bunge la Jamhuri: "Mheshimiwa Mwenyekiti... ukiacha kazi utapewa asilimia 80 ya mafao yako ya mshahara wako, nipeni basi hata asilimia 20. Mnasema hiki cheo changu hakikuwa kwenye Katiba, Rais ndiye anaanzisha cheo. Hata Mawaziri wetu wanaanzishwa kwa decree ya Rais. Ilikuwaje cheo ambacho Mwalimu Nyerere alianzisha, akasimamia akakaa pale Dkt. Salum Ahmed Salum, Naibu Waziri Mkuu wa pili Agustino Lyatonga Mrema."

mrema aliteuliwa naibu waziri mkuu katikati ya kipindi cha uwaziri mkuu wa cygwiyemisi malecela, kulitokea malalamiko toka kwa mawaziri wenzake kwamba mrema anawaingilia ktk majukumu yao. sasa ili kuzima malalamiko hayo raisi mwinyi akaona amteue kuwa naibu waziri mkuu.

Malalmiko yalizidi kuwa anaingilia kazi zisizo zake nafikiri wengi wanakumbuka malumbano kati yake na mama Mary Chipsi Chipungahelo

Wakati Mrema ni waziri wa mambo ya ndani alikuwa anafanya mamaamuzi mengi kinyume na sheria hiyo ilisababisha apewe naibu waziri Jaji Mweisumo ili kuzuia serikali kuingia katika migogoro mengi ya kisheria.

SWALI KUBWA LA KUJIULIZA WHY MH BITTEKO NA WHY SASA
Kwa kupitia historia jiulize Why sasa ? nchi inapokuwa kwenye Minong'ono mingine na kutokea kutaka kugawanyika kuhusu Diiipii weedi na Nyaraka mbalimbali za kidini na kiserikali Why baada ya kubdilishwa kwa DG TISS why sasa ??

Nyerere aliwahi kuulizwa kuhusu hiki cheo Mwaka 1986 , aliulizwa, kwa nini kumeanzishwa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba, akajibu, "Katiba haijasema awepo, wala haijakataza asiwepo..."

Huu utata unakuja kwa sababu sisi hatuna "enumerated powers doctrine" kwenye mfumo wa Katiba yetu, kama baadhi ya nchi, ambapo, kama kitu kwenye Katiba hakijasemwa kwamba kiwepo maana yake kimekatazwa!
Kwa akili yangu dogo, Samia amekirudia hiki cheo ili kuanzisha mjadala mwingine watu waache kujadili DP World na mikataba yao ya hovyo,
Samia kaamua kuhamisha magoli.
 
Mkuu umeamua tuu kutupa historia, lakini hatujajua umhimu wa Biteko pale anaenda kutuliza nini wakat Biteko hata huku uraiani hakubaliki , labda sababu za kidini , au za kikanda , lakni ieleweke tuu wazi wananchi wapo against na genge lililopo juu na chawa wao wote kuliko wakat wowote tangu inch ipate Uhuru
 
Back
Top Bottom