Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Naanza kuwatafutia uraia wa nchi nyingine ndugu zangu wote. Kama kuna kitu nimejifunza nchi inayoitwa Tanzania basi ni kutodharau mambo yanayoonekana they are so ridiculous that they can never happen. Wana JF wenzangu, naomba tuilinde nchi yetu kwa kuwa hatutapewa nchi nyingine.

Na kwenu nyie wote mnaowapigia debe kina Lowassa na Serukamba, jueni kuwa mnaiweka rehani nchi yetu sote!

basi chukua nchi wewe uongoze utuletee maendeleo
 
Naanza kuwatafutia uraia wa nchi nyingine ndugu zangu wote. Kama kuna kitu nimejifunza nchi inayoitwa Tanzania basi ni kutodharau mambo yanayoonekana they are so ridiculous that they can never happen. Wana JF wenzangu, naomba tuilinde nchi yetu kwa kuwa hatutapewa nchi nyingine.

Na kwenu nyie wote mnaowapigia debe kina Lowassa na Serukamba, jueni kuwa mnaiweka rehani nchi yetu sote!

Mtoboa siri umemaliza hawa watu wa lowassa agenda wanamatatizo na tanzania au ni diaspoza.
 
hivi ni kazi mnakosa sisi watanzania hakika tunawaeleza tumepata shida sana na nchi hii hasa hichi chama cha magamba ambacho kimeleta taabu kubwa na ufisadi atuwataki hakika tunawaeleza
 
Huyo bado na ataendelea kulamba Miguu ya EL kwakuwa ndiye aliyemsaidia kupatahuo ubunge wake. Pamoja na El na RA kutumia pesa nyingi kumsaidia ashinde, hakushinda mpk wakaiba kura za mgombea wa CDM.

BTW: Stori za chini ya kapeti zinadai "anatumiwa" na wanaume wenzake. Itakuja kuwa aibu kwa taifa zima kuwa na PM "anayetumiwa"

Ebwaanaeeeee hapo penye red tuhakikishie hata kwa tetesi hai basi!
 
Peter hastahili hata huo ubunge alio nao. Itaja kuwa u'PM? Hebu uliza watu wa Kigoma kuhusu utendaji/uwajibikaji wake! Bure kabisa
 
Hapa ndipo tunapomhitaji kama utaki unaacha aweze kutumalizia party 3 mana hizi thread nyingine zisingekuwepo kaka HUTAKI UNAACHA TAFAFADHALI UMEKUWA KIMYA SANA LETE VITU utuondolee uchafuu huu wa mawazo machafu.
 
Hahahahahahahahahahahhahhahaha! This is a very good JOKE! Mleta mada kwanini usijiunge na ORIGINAL KOMEDI?
 
hii nchi ina laana hiii
sio bure
Kwani ukishakuwa rais wa wanafunzi IFM ni lazima uwe Rais au waziri mkuu wa Tanzania? Who is this guy and anything special which makes him to be considered a prominent person now, to run the show after 2015?
Hizi njaa zetu hizi mara nyingine zinatufanya tusiwajue vizuri watanzania na nini wanachotaka. We are just imposing the top leadership problems to them.
 
Du! 'Tikitimaji maji' a.k.a 'Mchicha mwiba' a.k.a 'ch.a.k.l.a' a.k.a. 'mtoto si r+ziiiiiiiki' kuwa waziri Mkuu, kaaaazi kweli kweli. Any way, MUNGU tunusuru.
 
Sidhani kama Mungu atakuwa hatupendi kiasi cha kutupa huyo jamaa kama PM.
 
Swala la Peter kuwa anamuunga mkono lowasa ni la kawaida kwa kuwa huduma anazopewa hata humu ndani ni wachache sana wangeweza kuvumilia.........Peter anajengewa kwa msaada mkubwa wa Lowasa nyumba makongo tena ghorofa.....inakaribia kwisha. Fred Lowasa na Masha wamechanga wakamnunulia Vogue.Xmas kapelekwa ne Fred mapumziko south africa......na unakumbuka Peter ana tabia ya udokozi hata wakati wa mafundisho ya kipaimara alidokoa kamera yapadri mzungu mpaka walei wakampeleka polisi....inawezekana ulikuwa utoto lakini tabia haiishi kabisa.
 
Yaani mpaka kichwa kinauma. Maana mtu unakemea mapepo mpaka basi. CCM ni pepo chafu sana, tunahitaji kulikemea kwa nguvu zote! Mungu inusuru TANGANYIKA yetu na hili pepo chafu EL
 
LOWASSA gani awe rais wewe? LOWASSA huyuhuyu wa RICHMOND? LOWASSA huyuhuyu wa NIGERIA? LOWASSA huyuhuyu wa VISASI? LOWASSA huyuhuyu wa MITANDAO YA UFISADI? my gudness SERUKAMBA Amnamfahamu nyie au? huyu ata UNAIBU UWAZIRI haumfai ndo aje awe PM wetu mpaka apo tu km LOWASSA BIN DOWANS alikua ana 2.5% za urais yani kumfikiria huyu kilaza SERUKAMBA ndo aje ampe japo ata unaibu waziri zimedrop to -------1000%....... LOWASSA huyuhuyu ambae baba wa taifa alimuona hafai ata kua mkuu wa wilaya ndo aje awe nani vile? kinachomfaa LOWASSA ni kua fundraiser tu kwani uko angalau anapunguza DHAMBI zake nyiiiingi....pole naibu waziri uliopewa sumu ili ufe sijui nawakinanani vile?
 
Kuna wengine ndani ya CCM wameamua kuwa, ashakum si matusi, mahayawani. Hayawani ni mtu ambaye pamoja na kupewa uwezo wa kutafakari na kuchanganua mambo tofauti na wanyama, lakini wenzetu hawa hawataki kabisa kuutumia uwezo huo waliotunukiwa na Muumba. Kwa wao chama cha mafisadi siku zote ni nambari one, pamoja na madudu yote yanayofanywa na viongozi wa juu ndani ya chama hicho na serikali hawataki kabisa kuyaamini au kuyatafakari madudu hayo. Wamekuwa kama kasuku kuendelea kuimba nyimbo za nambari one na kidumu chama cha mapinduzi.

Kasuku huweza kutamka maneno yanayotamkwa na binadamu pamoja na kuwa hajui maana ya maneno hayo. Wenzetu hao pia kama kasuku wanaendelea kuimba nyimbo hizo na kuudumaza uwezo wao wa kutafakari na kuchanganua mambo kwa uwezo ambao mwenyezi mungu ametupa wanadamu. Hivyo huyu Serukamba naye ni hayawani ambao ameamua kutotumia uwezo huo na kuendelea kuimba kama kasuku. Kwake yeye chama cha mafisadi ni nambari one na kamwe kwenye uchaguzi ujao Watanzania hawatauliza madudu ya EPA, Kiwira, Richmond, mikataba mibovu ya madini bali watataka kujua CCM ni nambari ngapi!!!? Tumshinikize hayawani huyu ili aelewe kwamba Watanzania tulio wengi hatukubaliani na uhayawani wake.

Nakubaliana na maoni ya mdau huyu.
 
Back
Top Bottom