Pete ya uchumba!

ma bro usishtuke sana this is where we dare to speak it openly. lakini sikweli???? na narudia kauli yangua yapo 96 sasa yakipungua hata moja umefumua.
lol hayapungui wala usijali,naona mabadiliko makubwa ya avatar,nimeipenda sanaaaaaaaaaa
 
sioni kama kuna kitu mbadala

my bro hata kitambaa cha shughuli?? nacho ni mbadala aisee. ila ile pete ya white gold ikawekewa tanzanite i cant it manake naweza nikawa naogopa kuivaa ni nzuri jee sasa uuuwiiiiiiiiiiii!
 
lol hayapungui wala usijali,naona mabadiliko makubwa ya avatar,nimeipenda sanaaaaaaaaaa

aah labda ya kwako kisa huyafumui ila wanao yafumua wengine wamebakiwa nayo 40 wengine hawana kabisa chezeya marinda lol!
 
Naona muda wa kulala umefika...........haya nenda ndani shemeji anakuita

dogo ngoma hailali hii mpaka saa sita saba kama huamini fuatilia post za usiku zote zinazotumwaga lazima nicoment, imeandikwa apendaye usingizi hatashiba maongeo upo hapo? BTW karibu tule bukini wa kutokosa.
 
Na inasemwa pia amnyimae mwenzi wake joto la usiku amefanya ukatili mkubwa
 
Back
Top Bottom