Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

the power

Member
Oct 18, 2012
85
105
Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set, they are totally blind (myopic)

Ukimuacha mpinzani wako aendelee kuchota credit for a long time kwenye jamii iliyo vulnerable na iliyokuwa na wasiwasi na mhusika;politically yeye amewin (Kama anavyoendelea kijana mjanja wa chama tawala katika mikoa ya kanda ya ziwa). Kibaya kuiondoa hiyo new paradigm shift utahitaji ufanye kazi kubwa sana ya ziada, kumbuka kay yeye ataendelea kujiboresha kujustify his/her credits.

Mimi nilitegemea team pinzani itaretaliate na kuja na hoja mahili za kudiscred strong action za m/wapinzani wao wakati huu ambao ana-wa win the majority kwenye maeneo yao, kibaya zaidi maeneo waliyokuwa wakiyategemea sana yakiwa na strategic winning population. For sure, It will be too late to intervene when they will all be converted few months before their time for making decision.

Without any excuses, you can use multiple media strategies, which are cost effective and can reach wide range of your target audience, nowadays digital media / communication works very efficiently. For sure this is the right time for you to smartly intervene, don’t be surprised finding yourself pounding into the empty bucket if you wait till those months when your target audience have to make decision. that will be too late. "Consistency, perseverance on targeted issue and groups is key to changing someone mind set and perception about something, even if the issues might not be that credible but repeated sensitization increases the buy-in."

Mikutano hii inayoongozwa na mtaalam kijana mjanja ni mfano halisi wa namna wapinzani wangeweza kudiscredit the whole excercise by making a strong case against. Kweli kabisa ni ngumu kesi ya chui kumla swala kuipeleka kwa simba, sasa mtu tayari ni mtuhumiwa, anahisiwa was in one way or another involved or a master mind wa the same types ofcrimes in the past ,crimes ambazo audience yake sasa hivi -imez--raise na the same audince inaomba the same person awasaidie kuresolve hizo crimes,, sasa cridibility na moral authority yake tayari inakuwa jeopardized( hii ni hoja ikipangiliwa vizuri inadicredit the whole excercise).

Kingine, kuibuka kwa issues nyingi, zingine chronic, zingine very painful na traumatic kwenye mikutano hiyo is it a credit or a discredit?, someone smart again hapa pia angeweza kujenga hoja nzito sana pinzani kwa lugha rahisi kudiscredit zoezi zima. Tatizo wengi wa wapinzani wanasubiri matukio ili watoke kwenye media kukemea na kulaani tu,hiyo ni sawa ila haitoshi, "piga kwenye kidonda, piga kwenye mzizi unaompa mtu ulaji, piga eneo linalompa mpinzani wako most credit za ku-win the target auidince's mind set and perception"Ukweli unauma ila ni kweli wenzetu wa upinzani wanaibuka na matukio tu, je hayo matukio yasipotokea itakuwaje? hapatakuwa na hoja.

In order to convert people, to make them believe on you, believe on your potential and the good things you can do forthem, what you are capable of ?, most importantly to make them believe on you , it is not only about using public meeting kukemea matukio, la hasha! ni kuangalia big picture kuanzia kwenye vision na mision yenu, stretegies, objectives zenu, mfumo wenu, namna mlivyojipanga kucheza na mfumo na strategies wapinzani wenu, namna mnavyozi-discedit na kupandisha za kwenu. Sio kazi rahisi hakika kama inavyoelezwa kwa kifupi chini

Wapinzani wanatakiwa wawe na team ya watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies, wanatakiwa wawe watu with different background in politics, in theology, in psychology, human behavior , mind changes interventions, wenye utaalamu wa community hypnotization, program na project management, leadership and governance etc.

Inabakia kazi ya viongozi wakuu sasa kujua namna ya kutumia vichwa hivyo (how to appropriately select and utilize brains around them), wataalamu ku-strategically set tangible agenda, kupromote hizo agenda, ku-make a case kwa nini wao watakuwa wazuri zaidi ya waliopo, kuchange mind set za existing voters and potential voters etc.

Inasikitisha unakuta hoja pinzani asilimia zaidi ya 90 zimetokana na matukio e.g. vifo, mafuriko, bei kupanda etc, kweli ni hoja ila ni hoja hafifu, ni hoja za msimu na zinaelea na kupwaya sana, haziwezi kudumu na kumbadilisha huyu target audience wao.

Kutokuwepo kwa dira na strategies mbadala za kuboresha maisha ya wananchi in short and long term etc ni tatizo pia, kibaya short na long term strategies zilizotoolewa kwenye dira na zilizokuwa tailored kuaddress short and long term pertinent issues za potential audience ni shida kwelikweli.

Hakuna well planned, well orchestrated counter-attack strategies zaidi yak u-attack a person or personality or appearance, they need to capitalize on making cases kujenga hoja, they need to learn how to strategically counter-attack the opposing issues with alternatives options.Lastly they need to find brains and utilize those brains.
 
Mkuu unaongelea upinzani huu wa maigizo. viongozi wote wa upinzani ni watu wamewekwa hapo na chama tawala, wengi wao ni usalama. hakuna issue hapo. usipoteze muda kuwapa mbinu
mfano marehemu mrema alikuwaga usalama. wanazuga tu
wewe fanya mambo yako
 
mkuu unaongelea upinzani huu wa maigizo. viongozi wote wa upinzani ni watu wamewekwa hapo na chama tawala, wengi wao ni usalama. hakuna issue hapo. usipoteze muda kuwapa mbinu
mfano marehemu mrema alikuwaga usalama. wanazuga tu
wewe fanya mambo yako
Kumbe, da-deki basi vijana wanaoingia kichwa kichwa na kuachwa vilema na wengine kupoteza maisha ni kazi bure...
 
Back
Top Bottom