Pete ya uchumba!

princess enny na Kipipi hivi si mwajua kwamba nyumba yeyote lazima iwe ina mlango na dirisha? so mtu anapita dirishani pamoja na vitu kama samani za ndani zapitia mlangoni siyo? dirisha kazi yake ni kupitisha hewa na mwanga ndani siyo? sasa ili mtu apite dirishani inamaana lazima uliharibu siyo yaani uchane wire mesh na nondo pia uzivunje siyo...........kwaherini
umejtahd kutumia tafsida next of kin Big juu!!
 
Muhimu kumkumbusha dada unaempenda...........hujui tuliku-send off na si on, kwa hiyo lazima kuhakikisha unabaki hukohuko.......nani anataka mbanano nyumbani, hapa story tu kula kwako ulikoenda kwa mbwembwe.......

Halafu umenikaribisha wapi?

JAMANI DOGO USINGIZI UNMEKUJAZA MACHO YAANI SI NIMEKWAMBIA KARIBU TULE BUKINI WA KUTOKOSA? ama hukuelewa?
 
JAMANI DOGO USINGIZI UNMEKUJAZA MACHO YAANI SI NIMEKWAMBIA KARIBU TULE BUKINI WA KUTOKOSA? ama hukuelewa?

Ama kweli usingizi umenikamata..........kumbe hata bata bukini nae analiwa!!!!! ama kweli ukistaajabu ya gfsonwin utayaona ya kaizer
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu utaratibu! Wewe jibu lako analo KAIZER , mi nipo kunako Malazani .
Kaizer jibu hawa makitu !

duh!@kaizer wangu ndo anaijibu marinda yapo mangapi??? yule ni mwanaume wa shoka huwa hafumui manake anajua milando mingine yote yaweza kutumika kasoro huu.
 
Back
Top Bottom