Pete ya uchumba!

kwa upande wangu mimi ningempa zawadi ya upendo na mapenzi yangu ya dhati ambayo hatoyapata kutoka kwa mtu mwingine yoyote zaidi yangu mimi...na hiyo ndio itakuwa zawadi yangu special kwa ajili ya huyo msichana ambayo ni jinsi gani nampenda, namheshimu, namthamini na jinsi gani alivyo wa muhimu katika maisha yangu.
this is great ila hujamalizia jibu lako ivo limekua na mapungufu kiasi flan
 
mambo!
mara nyingi waschana huwa tunavikwa pete wakati wa engagement!! sasa endapo itatakiwa mvulana umpe mschana ktu kingine tofauti na pete!! je utampa nini mschana!!?? na endapo mschana itakuwa ni lazima umpe mvlana zawadi baadaya kuvshwa pete au kupewa mbadala wa pete!! utampa zawadi gani!!?? this is for all!!

Nitampa "MIMBA"...............:hat:
 
kwa hesabu ya haraka haraka kutoka kwa mkemia mkuu ni 96! lol! nawasilisha madame!

miye sasa sina la kusema shostito wangu. MARINDA YAPO 96 source mkemia mkuu, yakiwa 95 umeshafumua moja habari nd hiyo.
 
Back
Top Bottom