Majoja
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 612
- 186
Dereva wa kampuni maarufu alikuwa anakwenda mwendo mbaya kwenye mteremko,huko nyanda za juu kusini.
Akapata ajali mbaya kama tunavyoona.
Kwa vile kampuni yao ina pesa wakasema- no problem lete crane tuinyanyue gari.
Kwa vile hata matumizi ya kitaalam ilikuwa shida na hiyo crane ikapinduka kwa kutoyumika vizuri(stability setting).
Ikabaki wote wamepigwa bumbuwazi nini kifanyike na milima ya vifaa vilivyopo chini na mtaroni.
Pesa bila akili ya kutosha!!