Alwatan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 409
- 129
Halafu kitu ambacho kimewaudhi sana wakristo ni kwamba jk alisema baadhi ya viongozi wa dini wanahusika na biashara ya madawa ya kulevya. baadae wanasema alimaanisha makanisa madogo. maana yake viongozi wa dini alimaanisha wakristo ndio maana akawa specific kuwa ni makanisa madogo. waislamu na dini nyingine wao rais anasema ni watakatifu hawahusiki
Kwanza, ni wapi rais alisema waislam na dini nyingine wao ni watakatifu? Tusilete uchochezi pale pasipostahili.
Pili, kama hakuna wa dini ingine waliokamatwa, wewe ulikua unataka watajwe tu ilimradi kuleta usawa au? Fafanua hapo. Au kama kuna unaowajua, nawewe ni raia mwema, kawaripoti kwenye dola.