Pengo amtolea uvivu Kikwete

Halafu kitu ambacho kimewaudhi sana wakristo ni kwamba jk alisema baadhi ya viongozi wa dini wanahusika na biashara ya madawa ya kulevya. baadae wanasema alimaanisha makanisa madogo. maana yake viongozi wa dini alimaanisha wakristo ndio maana akawa specific kuwa ni makanisa madogo. waislamu na dini nyingine wao rais anasema ni watakatifu hawahusiki


Kwanza, ni wapi rais alisema waislam na dini nyingine wao ni watakatifu? Tusilete uchochezi pale pasipostahili.

Pili, kama hakuna wa dini ingine waliokamatwa, wewe ulikua unataka watajwe tu ilimradi kuleta usawa au? Fafanua hapo. Au kama kuna unaowajua, nawewe ni raia mwema, kawaripoti kwenye dola.
 
4sur ht mi nmefurahi pengo alichosema,na ukwel mh.Jk alicho2fanyia wakatoliki c hak na m2 anae ingilia au kuleta ugomvi wa dini ndo anayesababisha mgawanyiko ktk dini n datz nt gud al oj
Jipange mheshimiwa zen taja majina mioyo yetu i2lie wakatoliki ume2wekea doa sasa kwenye karatasi nyeupe
 
huyu mwanya ni wa kuchunga sana asije akaleta ya rwanda na burundi, huo ndio ujasiri wa kikwete.
 
ʞontɹact Sniper;2359372 said:
The great thing about Polycap Cardinal Pengo is you cant mess sup with him....He is the Straight shooter
Unajua maana ya "straight shooter"?

Straight shooter kashindwa kutaja jina la kiongozi "msaliti" aliyewatuhumu halafu analaumu wengine kwa kutotaja majina?

Kardinari Pengo anawaongelea viongozi gani?
 
Najaribu kujiuliza kuwa ingekuwa mkapa ametamka maneno kama hayo mbele ya hadhira ya baraza la iddi ingekuwaje.....wakristo ni wavumilivu sana.....hata kwa mtu ambaye anawatukana mbele ya madhabahu yao .....tena ambaye wamemualika kwa heshima na taadhima!!!
Huu ni uchokozi usiokuwa na sababu...na ukosefu wa kuheshimiana kitaifa.....kama alivyosema cardinal ..Tunamshukuru Mungu....hata kwa wale watakaoendelea kutukana !!

Hata siku moja kanisa halijawahi kuunga mkono CHADEMA...sana sana kanisa lililaumiwa na waumini kwa kumbeba Kikwete mwaka 2010....na hata Cardinal amekuwa akichukuliwa na waumini kuwa na msimamo wa kuunga mkono CCM....Pamoja na kuwa anaheshimika kwa msimamo wake wa kutetea ukweli.......leo kwa ajili amemuambia Kikwete ukweli anaonekana CHADEMA?????

Kanisa limekuwa na uvumilivu sana na hata kabla ya kujibu chochote wamekaa mwezi mzima kusubiri labda majina yangetajwa......ni haki yao kama viongozi kujenga imani ya waumini!
 
ʞontɹact Sniper;2359963 said:
Mkuu labda nikukumbushe kidogo...Hakusema 'baadhi ya viongozi wa dini', alisema 'viongozi wa dini'
Tanzania tuna dini kuu mbili: Uislam na Ukristo. Viongozi wa dini hizo mbili ni Mtume Muhammad(SAW) na Yesu Kristo. Naamini JK ulimi uliteleza, maana viongozi wa dini hizi mbili kwa sasa hawako hapa duniani kimwili hivyo hawawezi kuhusishwa na biashara haramu za madawa ya kulevya.

Kwa upande wa Kadinali Pengo, naye ulimi umeteleza kwa kumjibu JK, badala ya kuomba muongozo kwa JK ili afafanue kwamba wakati aliposema viongozi wa dini alimaanisha viongozi wa makanisa, ila sio wa makanisa makubwa kama la katoliki.
 
<b>Najaribu kujiuliza kuwa ingekuwa mkapa ametamka maneno kama hayo mbele ya hadhira ya baraza la iddi ingekuwaje.....wakristo ni wavumilivu sana.....hata kwa mtu ambaye anawatukana mbele ya madhabahu yao .....tena ambaye wamemualika kwa heshima na taadhima!!!<br />
Huu ni uchokozi usiokuwa na sababu...na ukosefu wa kuheshimiana kitaifa.....kama alivyosema cardinal ..Tunamshukuru Mungu....hata kwa wale watakaoendelea kutukana !!<br />
<br />
Hata siku moja kanisa halijawa
https://www.jamiiforums.com
 
Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete? au ni mmoja wa washukiwa.

lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.

uzushi, fununu, umbeya, ulaghai na udanganyifu siyo maadili mazuri, raisi wa nchi hatakiwi kabisa kuwa hivyo. Ili kumaliza hili tatizo ni lazima raisi awe wazi wahusika wajulikane na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Pengo amesema hata kama ni yeye basi atajwe, nadhani hana cha kuficha bali anataka ukweli badala ya hadaa za kushetani. Kikwete anajua anachofanya lakini kama kawaida ya malezi yaliyomlea anaongea kwa mafumbo bila kubainisha makusudio yake hali ambayo ni hatari kwa amani na usalama wa taifa.
 
Mwaka wa kwanza wa ndoa mme anaongea mke anasikiliza tu, mwaka wa pili wa ndo mke anaongea mme anasikiliza tu na mwaka wa tatu wa ndoa wote wanaongea na majirani wanasikiliza. TAFAKARI!
 
Rais ni Amiri Jeshi Mkuu! Rais is Muajiri mkuu wa watumishi wa umma
JWTZ ipo chini yake; Polisi ipo chini yake; Magereza yapo chini yake;
Sasa manung'uniko ya nini? Kwa nini hachukui hatua badala yake ashuhudia mateja wanaongezeka?
Soon we are going after him!
 
Tamko la Baba Askofu Mkuu ni jema na ni fundisho kwa serikali.Kama serikali imekiri kuwa Kanisa Katoliki halihusiki;tuhuma hizo hazikutakiwa kutolewa kwenye hafla ya Baba Askofu.
 
Najaribu kujiuliza kuwa ingekuwa mkapa ametamka maneno kama hayo mbele ya hadhira ya baraza la iddi ingekuwaje.....wakristo ni wavumilivu sana.....hata kwa mtu ambaye anawatukana mbele ya madhabahu yao .....tena ambaye wamemualika kwa heshima na taadhima!!!
Huu ni uchokozi usiokuwa na sababu...na ukosefu wa kuheshimiana kitaifa.....kama alivyosema cardinal ..Tunamshukuru Mungu....hata kwa wale watakaoendelea kutukana !!

Hata siku moja kanisa halijawahi kuunga mkono CHADEMA...sana sana kanisa lililaumiwa na waumini kwa kumbeba Kikwete mwaka 2010....na hata Cardinal amekuwa akichukuliwa na waumini kuwa na msimamo wa kuunga mkono CCM....Pamoja na kuwa anaheshimika kwa msimamo wake wa kutetea ukweli.......leo kwa ajili amemuambia Kikwete ukweli anaonekana CHADEMA?????

Kanisa limekuwa na uvumilivu sana na hata kabla ya kujibu chochote wamekaa mwezi mzima kusubiri labda majina yangetajwa......ni haki yao kama viongozi kujenga imani ya waumini!

Tafadhali mkuu, wengine huwa tunaheshimu sana michango yako hapa jamvini... Kama hujui jambo bora usilitolee tamko.
 
Rais wa Tz kweli m2 wa ajabu sana. Nadhani wengi we2 mtakuwa mmejifunza ki2. Tusiwe 2nachagua ili mradi rais amepatikana. Nadhani pia viongozi wa dini (hasa wa kikristu) hakututendea haki kipindi kile watz wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu. Walituambia ni chaguo la Mungu, leo lile chaguo lao limeingiwa na shubiri.

Nashukuru tu kwamba Kardinali Pengo huwa hashabikii siasa na anasema ukweli daima. Na hajali huyo mtu anayemsema yupo pale au la; kumbuka alivyomsema pale pale akiwepo rais mwenyewe wakati wa adhimisho la misa ya mazishi ya Askofu Mayala.

Sasa watz tumke, ha2na rais ni nafuu ya bata kunya. Tujitahidi tu maana pengine kufikia 2015 tutakuwa tumeikimbia nchi kwa shida. Sijui itakuweje maana sipati picha ya huyu mume wa salma. Dah! kazi tunayo Watz.
 
Hivi ni nani mwenye dola, ni viongozi wa dini au wa serikali? Kama tumemkabizi mamlaka mtu asiejitambua tufanye je? Maana hatuamini kama hajitambui ama anafanya makusudi kwa maslahi anayoyafahamu mwenyewe.

Tuliisikia ile kauli ya rais, haikuwa imesema baadhi bali ilisema ninyi viongozi wa dini ni wauza unga. Wengi waliokuwepo katika hafla hiyo ni viongozi wa kanisa katoliki pamoja nae Pengo. Jk kwa makusudi na kwa kiburi hakuwahi kusahihisha ile kauli yake ili iwe ni baazi na wala sii viongozi wa dini. Badala yake wasaidizi wake wamekuwa wakijiingiza kwenye kazi ya kuiratibu kauli ya rais kinyume na matakwa yake. Na wakati mwingine wamejikuta wakilikoroga kuliko mkuu wao, na sababu ya kulikoroga ni kutokuwa specific kwenye kile wanachoongelea.

Sii watanzania wote wenye kuweza kutatua lugha za kuzunguka mbuyu. Mfano kauli ya pinda ya kusema ni viongozi wa vijikanisa vidogo bila hao kutajwa ama kukumatwa, bado jijini Dar kauli hiyo imethibitisha kuwa kanisa katoliki ndio wahusika na sii wengine, maana wameangalia maaskofu hapa jijini na makusanyiko yao na kuhukumu ni yupi anakusanya watu wengi na ni wepi wanakusanya umati kidogo. Wanasema Gwajima unnaongoza kukusanya watu akifuatiwa na kakobe, lusekelo, Rwekatare, mwingira na ndio unaanza kuwaona kina Pengo, Malyasusa na kina Mokiwa. Hivyo mtizamo wa raia Dar wanachukulia kauli ya Pinda kama nilivyotaja hapo juu.

Pia wanasema pinda kamaanisha haswa kile kikwete alichomaanisha kwamba ni viongozi wa kanisa, na sii hata kidogo waisilimu, maana viongozi wa kiislamu huwaongozi kanisa, liwe kubwa ama vijikanisa.
.
 
Hawa jamaa ni makini sana. Hawakuchukua papara kumjibu Kikwete alipotoa tamko jimboni Mbinga wakati wa kuwekwa wakfu askofu. Wakatulia na kufanya utafiti kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kujiridhisha baada ya kujichunguza sasa wanamjibu Rais Kikwete iweje waje kutamkia hilo kiwanjani walipokusanyika maaskofu wote Tanzania Katoliki kama tuhuma hizo haziwahusu?

Kiongozi wa nchi anatakiwa kutanguliza hekima na busara na akigundua kwamba anamapungufu ya busara bora awatumie washauri wake makini vinginevyo uropokaji huu unampunguzia heshima yake.
 
Tamko la Baba Askofu Mkuu ni jema na ni fundisho kwa serikali.Kama serikali imekiri kuwa Kanisa Katoliki halihusiki;tuhuma hizo hazikutakiwa kutolewa kwenye hafla ya Baba Askofu.
Pengo(7).jpg

Mwadhama Policarp Kadinali Pengo

Mwadhama Policap Cardinali Pengo ni mwazi, unyofu na ukweli ndani ya moyo wake ndivyo vilivyomsukuma kutetea ukweli. Mkuu wa nchi kuendelea kulalamika bila kuchukulia hatua wahusika ni kuonyesha dhahiri ni legelege na mwoga dhana ambayo kiuongozi haifai hata kidogo.

Ni mfano wa Askofu Mkuu wa Afrika Kusini Askofu Mkuu Demon Tutu, ambaye alipigania haki za waafrika kusini bila kutetereka hadi haki inatendeka.
 
Pengo(7).jpg

Mwadhama Policarp Kadinali Pengo

JK msaliti - Pengo

&#8226; ATAKA AWE NA UJASIRI WA MWANAMKE MJAMZITO

KWA mara nyingine, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, ameonyesha kukerwa na kauli ya kufumbafumba aliyoitoa Rais Kikwete akiwahusisha viongozi wa dini na biashara ya dawa za kulevya. Baada ya kufanya hivyo katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Kardinali Pengo alirejea tena wito wake jana, akimtaka Rais Kikwete kuwataja hadharani viongozi wa dini ambao aliwatuhumu kujihusisha na biashara hiyo. Tofauti na ilivyokuwa wakati alipozungumza kwa mara ya kwanza, katika kauli yake ya jana, Pengo alikifananisha kitendo cha Rais Kikwete kushindwa kuwataja kwa majina viongozi wa kiimani anaowashutumu na usaliti.

"Kiongozi mwenye uchungu na mzalendo kwa taifa hana budi kutaja majina ya watu wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali kwa masilahi ya taifa na wananchi kwa ujumla&#8230; yeye kushindwa kufanya hivyo ni msaliti wa nchi," alisema. Kiongozi wa nchi wa kweli haoni haya kutaja mafisadi, au wala rushwa hadharani. Endapo anaona haya kuwataja ni msaliti ndani ya nchi yake," alisema Pengo.

Pengo alikwenda mbali zaidi na akamfananisha kiongozi mwenye uzalendo na nchi kuwa sawa na mwanamke mjamzito anayeshikwa na uchungu wa kuzaa wakati akiwa mbele ya nyoka mwekundu. Alisema kuwa mwanamke wa namna hiyo huendelea na uzazi pasipo kujali au kuhofia hatari ya nyoka aliyeko mbele yake. Pengo alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akizungumza katika ibada maalumu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme, Tabata jijini Dar es Salaam jana. Kardinali Pengo, mmoja wa viongozi wa dini wanaoheshimika, alisema kitendo cha Kikwete kutoa tuhuma hizo nzito wakati akiwa katika shughuli ya Wakatoliki kinaweza kutafsiriwa kuwa alikuwa akiwalenga wao ambao walikuwapo katika hafla hiyo.

Rais Kikwete alitoa tuhuma hizo ambazo zimeibua manung'uniko ya wazi kutoka kwa viongozi wa Kikristo wakati wa ibada maalumu ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo. "Rais Kikwete hakupaswa kutumia jukwaa la Wakatoliki kutoa kauli hiyo. Angeweza kutumia sehemu nyingine ili tuliokuwepo tusijione kuwa walengwa wa ujumbe," alisema Kardinali Pengo.

Pengo anakuwa ni kiongozi wa pili wa juu wa Kikristo kutoa kauli hiyo kali, baada ya Umoja wa Maaskofu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania, (CCT) kumpa Rais Kikwete saa 48 za kuwataja kwa majina viongozi wanaotuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya. Tamko hilo la maaskofu wa CCT ambalo hata hivyo halikujibiwa na Kikwete hadharani zaidi ya majibu yasiyo na majina kutolewa na viongozi wengine, lilisomwa mbele ya wanahabari mwanzoni mwa mwezi Julai na Mwenyekiti wao, Askofu Peter Kitula. "Tunampa saa 48 rais awataje kwa majina viongozi hao ambao yeye anadai wanajihusisha kuuza dawa za kulevya na kama atashindwa kufanya hivyo tutatafsiri kuwa ni kiongozi mwongo na mzushi. "Tunasikitishwa na kushangazwa kwa kauli hiyo na tunamheshimu kama kiongozi wa nchi, hivyo tunampa muda huo (saa 48) awataje kwa majina," alisema Askofu Kitula.

Akiwa Mbinga wakati wa sherehe hizo za kuwekwa wakfu kwa askofu mpya, Rais Kikwete alieleza kusitikitishwa na hatua ya viongozi wa kidini kujihusisha na biashara hiyo ya dawa za kulevya. "Inasikitisha sana na kutisha biashara hii haramu sasa inawavutia hata watumishi wa Mungu. Taifa letu litaharibika tusipokuwa makini katika hili, baadhi yenu tumewakamata. "Kwa kauli zenu kemeeni jambo hili kwa kuelimisha jamii hususan vijana waweze kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya," alisema Kikwete pasipo kufafanua.

Tanzania Daima
 
CCT- Kikwete mwongo na mzushi
Pengo- Kikwete msaliti
Maneno mazito haya hata kama akinyamaza lakini wamesema hawakunyamaza na yamemuingia.
 
kaldinali mwanya acha unafiki..........

Mnafiki ni huyo Rais wako anayetoa tuhuma bila kumtaja mtuhumiwa, then anakimbia kusafiri nje ya nchi utadhani yeye ni rais wa kimataifa.
Hatuna muda wa kujadili utumbo wa huyo JK wako, kama ana uhakika kwanini asiwataje hadharani? tumegundua JK ana wachukia sana wakristo, ngoja tuone atafika wapi.
 
Back
Top Bottom