Pengo amtolea uvivu Kikwete

Pengo kakasirika? kweli ukweli huwa unauma, ngoja ayaone yale ya ushoga ndio sijui atasema nini?
 
Pengo kakasirika? kweli ukweli huwa unauma, ngoja ayaone yale ya ushoga ndio sijui atasema nini?
Mwimba mipasho, kama Wamachinga wa Mby tu wamemtoa kamasi yeye na vibaraka wake, tumshukuru Sugu Moto chini kwa kuuzima ule moto, je atamweza Msomi kama Pengo!
 
Kwanini asiliseme hilo kwenye kanisa la lutheran, pentekoste, anglikana, victor gospol church aende akaseme kanisa katoliki? Na ni kwanini akiambiwa awataje viongozi wa dini wanaouza madawa hawataji? HUYU ****** NI MNAFKI SN NIA YAKE ILIKUA KULICHAFUA KANISA KATOLIKI, KUMBUKA DR SLAA NI MKATOLIKI ANAANDAA MAZINGIRA YA KUMTENGENEZEA KESI.

jf jamani yani noma
 
Hapo pengo alijishtukia mbna wenzie wasiseme? Iv yule askofu wa jombo la same alikuwa na kashfa ya nn mpaka mkampa kifungo?? Na mdogo ake padri Valence alikuwa na kashfa gani pale kanisa la kisangara na shule ya seminari ya chanjale. Yy kikwete akiongea sio kwamba hajui ila huu urafiki na kuwachekea ndo mnamfanya aonekane hajui anachokisema.
 
Japo alitoa yaliyokuwa ndani ya moyo wake lakini hawa magamba ni sikio la kufa lisilosikia dawa
 
Back
Top Bottom