Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 82,613
- 96,093
Kwahiyo ni kosa kutoka maternity leave?Jaman, kaweka hoja mezani,timu cdm tuje na hoja za kumpasua huyu kijana. Matusi ya nini? oh mwehu!! Ametoka martenity leave, hiyo yote haitasaidia. Inatakiwa hoja tu. Lowasa alisema elimu!! Elimu!!!