Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,305
- 9,734
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini,nuru ya wanyonge,mama wa upendo na ukarimu leo hii ameweza kukutana na Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo Wa CCM Taifa kijana shupavu na jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Amekutana na Mheshimiwa Makonda ambaye kwa sasa yupo katika ziara ya kutembelea mikoa 20 mfululizo bila kupumzika wala kukaa chini katika kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,Pamoja na kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Katika picha ambayo inaendelea kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii Duniani kwote imeonyesha Rais Samia akisalimiana kwa tabasamu na furaha na Mheshimiwa Makonda kijana mchapa kazi kabisa na anayetajwa na watanzania kama sauti ya wanyonge.
Ikumbukwe ya kuwa kwa maono ya kinabii ni Paul Makonda Mwenyewe aliyemtabilia Rais Samia kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wetu wa Rais mwanamke wa kwanza katika Historia ya Taifa letu. Hii ilikuwa ni katika bunge maalumu la katiba mwaka 2014 ambapo Mheshimiwa Makonda alikuwa pia ni mjumbe.
Unaweza kuona Mheshimiwa Makonda ni mtu wa namna gani na ana nini ndani yake mpaka kuweza kuona mambo ya mbele ambayo wengine kwa wakati huo walikuwa wapo katika usingizi mzito na katikati ya giza nene.lakini kwa ujasiri wa hali ya juu sana huku akimwita Rais Samia kwa wakati huo kama Simba jike alimtabilia jambo kubwa ambalo likaja kutokea baadaye.
Na kweli alichokitabiri na kukinena Paul Makonda kilikuja kutokea na kutimia machoni pa watanzania baadaye.huu ni unabii alio ufanya Paul Makonda aliyetangaziwa mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa kishindo uliotikisa milima na mabonde,huyo ndiye Makonda ambaye hajawahi kuwa na uoga wa kuwapambania wanyonge katika kifua chake. Huyu ndiye Makonda aliyezaliwa akiwa na kibali na Karama ya uongozi mkononi mwake.huyu ndiye Makonda anayeendelea kuteka siasa za nchi hii na hisia za watanzania..
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.