Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

Umeme tatizo sukari tatizo halafu MTU anapiga poroja za kutafuta kura wakati jamii ina suffer kutokana na ukosefu wa social service ni ujinga
Kero ya sukari inakwenda kumalizika muda siyo mrefu maana sukari iliyokuwa imeingizwa nchini kutoa nje ya nchi karibu itaanza kusambazwa mikoani kwote.
 
Watanzania tungejikita kujadili nani awezae kutatua matatizo ya msingi tuliyonayo tangu miaka 60 ya uhuru
badala ya mambo ya kujaza watu wakati ufumbuzi hakuna
1. Tujadili kwa sasa hakuna ufumbuzi wa kudumu umeme nchini tegemeo ni maji kama chanzo kuna vyanzo vingine kama nyuklia havijadiliwi ingawa tuna uranium kibao, gesi kibao, nishati ya jua ukanda wa ikweta, halikadhalika upepo mkali kwa baadhi ya mikoa
2. Ukosefu wa bidhaa muhimu na upandaji holela wa bidhaa hizo huku tukiambiwa hazina faida kwa binadamu(sukari) mafuta ya kupikia, nishati ya mafuta dizel na petrol (bei)
3. Katiba itakayoendana na halisi ya maisha maana iliyopo ni ya mwaka 77 kuna mambo ya msingi yanahitaji mabadiliko km vile kero za Muungano kwa mfano kuna vitu wabara hawaridhiki navyo mfano masuala ya usawa wa matibabu na kwa wazanzibar halikadhalika kuna vitu vinawakera mgawanyo wa mapato, misaada, masuala ya kidini masuala ya uchaguzi.
4. Kuna masuala yanaumiza wastaafu kutokana na kikotoo kuna watu wanapewa upendeleo hakiwagusi bali wengine sijui ni walala hoi waop wanapangiwa namna ya kutmia pesa zao.
5. Mitaala ya elimu na ajira nk nk wengine watajazia hapa
CCM Ndio Suluhisho wa hayo yoote iliyoyaorodhesha na ndio maana Inaendelea kusalia madarakani na kuchaguliwa kwa kishindo katika kila uchaguzi.nitakujibu kwa ufupi hoja zako.

Suala la umeme.katika suala hilo ni kuwa serikali yetu ya CCM Inaendelea na juhudi za kuimarisha vyanzo vya umeme pamoja na kuongeza vyanzo mbadala,Ukiachana na vile ambavyo tumekuwa tukivitumia na kuvitegemea kwa muda mrefu ambavyo ni maji, mafuta pamoja na gas.ambapo kwa sasa serikali inaendelea na ukamilishaji wa bwawa la mwalimu Nyerere ambalo kukamilika kwake kutatupatia megawati 2115 zitakazounganishwa katika grid ya taifa,.ambapo litakuwa linawashwa mitambo yake awamu kwa awu.mfano kwa sasa kuna mtambo utakao washwa na tayari umeshafayiwa majaribio na utatupatia megawati 235.lakini pia serikali inawekeza pia katika jotoardhi katika kuzalisha umeme.

Katika suala la sukari ni kuwa kero hii inakwenda kuisha muda siyo mrefu, kutokana na kuingia kwa sukari kutoka nje ya nchi ambayo iliagizwa ilikuja kumaliza kero hii.ambapo itasambazwa katika mikoa yote na hivyo kupunguza bei ya sasa ya Sukari.

Suala la bidhaa za nishati ya mafuta kama petroli,dizeli na mafuta ya taa kwa sasa siyo tatizo maana yanapatikana bila shida na yanaendelea kushuka kila mwezi kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia wenyewe.

Masuala ya katiba yote hayo yapo kwenye mchakato na serikali ilisharidhia kuwapatia katiba mpya Watanzania pamoja na sheria mbalimbali zitakazo chochea ustawi wa demokrasia hapa nchini.ndio maana tunaona serikali ilipeleka bungeni miswaada mbalimbali ya tume ya uchaguzi,sheria ya vyama vya siasa n.k.
 
Mikutano ambayo kwanza anakusanya watu kwa maroli na shule zinafumgwa eti Mwenezi anapita! Tutatoka lini kwenye huu upuuzi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Katika mikutano ya Mheshimiwa Makonda ni kuwa watu wanakwenda wenyewe kwa miguu yao na kwa hiyari yao.ndio maana kunakuwa na mafuriko ya watu ambayo huwezi hata kidogo kusombelea kwa magari kama ambavyo CHADEMA walitaka kujaribu kuhadaa umma lakini wakashindwa vibaya sana.

Watu wana muunga mkono sana Mheshimiwa Makonda na CCM ndio maana humiminika kwa kasi kwenda kumsikiliza na kusikiliza sera za CCM na mipango yake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa wala kiongozi wala mtu yeyote yule kutoka upinzani ,anayeweza kufanya mkutano mkubwa ambao ukahudhuriwa na maelfu ya wananchi kama Mheshimiwa Paul Makonda Jabali na Nguli siasa na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Mheshimiwa Paul Makonda alipotua na kukanyaga mkoa wa Mbeya na kufanya mkutanoni wa hadhara ndani ya ardhi ya mkoa wa Mbeya alipokelewa na umati wa maelfu ya watu waliofurika na kumiminika kama mchanga wa baharini. ilikuwa hakuna pa kukanyaga wala kusogeza mguu.ilikuwa ukitoa mguu wako basi utaishia kukanyaga juu ya mguu mwingine wa mtu ,maana hata sisiminzi asingeweza kupata nafasi ya kupenya kwa namna watu walivyokuwa wamefurika na kujaa utafikiri enzi zile za marehemu askofu dkt Moses kulola alivyokuwa anapokelewa huku kwetu.

Mikutano yote ya Mheshimiwa Makonda imekuwa hivyo hivyo ikipata mapokezi makubwa kwote anakopita na kufanya mikutano.watu wamekuwa wakijitokeza kwa wingi sana,.jambo ambalo limemtisha na kumtetemesha sana Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye akiwa mkoani Mwanza alianza kulia lia kuwa mafuriko ya Mheshimiwa Makonda ni ya kutengenezwa kwa kuwalazimsha watu kuhudhuria, lakini cha ajabu ni kuwa yeye mbowe ameshindwa kuyatengeneza na kuwalazimsha watu..

Sasa jana ndipo ikaonyesha ukubwa,uzito na thamani ya Mheshimiwa Makonda katika mioyo ya watanzania hasa wanambeya ambako mkutano wa hadhara ulifanywa na CHADEMA.kwani licha ya CHADEMA kusombelea watu kutoka mikoa yote ya nyanda za juu kusini lakini bado hali ya mahudhurio yawatu haikufikia hata robo ya mafuriko ya watu waliompokea Mheshimiwa makonda.hii ndio sababu jina la Mheshimiwa Makonda lilitawala katika matembezi yao ya kupoteza muda waliyokuwa wanayafanya CHADEMA.

Nilishuhudia magari hasa macosta yakisombelea watu kutoka mikoa yote ya jirani na wilaya zake yakiwaleta watu Mbeya ili wafanye maandamano jana.lakini hawakuweza kujaa hata kwenye kiganja.ndio maana picha za mitandaoni waliziweka kijanja janja ili kuficha aibu.lakini kwa tulioshuhudia na kuona tulibaki tunawasikitikia tu CHADEMA kwa namna kilivyopoteza ushawishi na nguvu kwa watanzania.kwa sasa watu hawana habari na habari za CHADEMA.ndio maana watu walikuwa wapo Bize tu kuendelea na kazi na shughuli zao.

CHADEMA wakubali tu kuwa hawawezi kushindana na Mheshimiwa Makonda wala CCM, Maana Mheshimiwa Makonda mmoja tu anawatoa jasho na kuwashinda.vipi kikiingia chama kizima na idara zake zote? Mheshimiwa Makonda pekee yake akitia mguu mahali fulani anateka mkoa mzima na kuwa gumzo mitaa yote ,ambapo shuguli zote husimama ili kwenda kumsikiliza. lakini CHADEMA pamoja na makelele yao ya magari kutangaza kila siku lakini watu hawakuwa na habari nao na badala yake waliamua kuendelea na shughuli zao.

Hii ni kwa kuwa wananchi wanatambua kuwa palipo na Mheshimiwa Makonda na CCM yake ndipo mahali unapoweza kupata majibu ya kero yako, ndipo unapoweza kupata suluhu ya shida yako ,ndipo unapoweza kufutwa machozi yako,ndipo unapoweza kusaidiwa na kupewa msaaada wa hali na mali,ndipo unapoweza kusikilizwa bila kujali hali yako na kupewa majibu stahiki.

Sasa ukienda kwenye mkutano wa CHADEMA utaishia kusikia matusi na makelele yasiyo na tija wala majibu ya kero za watu wala msaada kwa mwenye shida. Watu kwa sasa wana imani kubwa na Mh Makonda na CCM yake kwa ujumla na ndio maana kwa sasa wana kiu kubwa sana ya kuona Mh Makonda anarejea jukwaani na kuendelea na ziara zake baada ya kuwa amesitisha kwa muda kwa ajili ya kushiriki mazishi ya hayati Edward lowassa.

Nawaonya CHADEMA kuwa acheni kushindana na Mh Makonda. kumshambulia ni sawa na shambulizi kwa watanzania wanyonge ambao wanamtizama Mh Makonda kama mtetezi wao ,sauti yao na kimbilio lao la Haraka juu ya kero na shida zao katika kupata msaada.kwa hiyo mkijaribu kutaka kushindana naye basi mjue kuwa mnashindana na kupambana na mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wapo nyuma ya Mheshimiwa Makonda ,kumuombea dua njema na kumshukuru Mungu kwa kumpa maono Rais wetu kipenzi Rais Samia ili kuwaletea Mheshimiwa Makonda atakaye tembea nchi nzima kuwasikiliza kero zao na kuzifikisha kwake na serikali yake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2910998View attachment 2911001View attachment 2911002View attachment 2911003View attachment 2911004
Hapo unatakiwa tujiulize swali la msingi;
Ule umati ulioenda kwa Makonda, ulienda kufanya nini?
Je, ulienda kukiunga mkono Chama cha CCM?
Au ulienda kuishitaki Serikali ya CCM kwa dhuluma inayowafanyia Watanzania?
Jiulize, siku ule umati wa Makonda utakapojua kwamba Katiba Mpya itapunguza kwa kiwango kikubwa yale maovu wanayofanyiwa na Watu wa Serikali ya CCM, hali itakuwaje?
 
Umeona kuweka namba ya simu sio dili tena...au wahuni makada tayari wamekugegeda tako??
 
Bashite akifanya mkutano anakuwa na convoy ya watumishi wa mkoa + mafisiemu wenzake toka wilaya zote za mkoa husika + chawa + watumishi wa umma wanalazimishwa kwenda kumsikiliza kwa mfano walimu na wanafunzi wao.
Hapo lazima kuwe na kundi kubwa la watu.
Mleta mada ni muda sasa wa kutumia akili la sivyo jiandae kuwa zero brain forever.
 
Dr Nchimbi amepiga Marufuku 😂

UVCCM wametakiwa kuchapa kazi badala ya kuuchapa mdomo
Siku zote UVCCM wanafanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma kwa hali ya juu sana .wachapa midomo ni Bavichaa wa CHADEMA waliojaa matusi katika vinywa vyao.
 
Bashite akifanya mkutano anakuwa na convoy ya watumishi wa mkoa + mafisiemu wenzake toka wilaya zote za mkoa husika + chawa + watumishi wa umma wanalazimishwa kwenda kumsikiliza kwa mfano walimu na wanafunzi wao.
Hapo lazima kuwe na kundi kubwa la watu.
Mleta mada ni muda sasa wa kutumia akili la sivyo jiandae kuwa zero brain forever.
Acheni kuweweseka .maana naona baada ya kupata aibu ya kutopokewa kwa kishindo kama ilivyokuwa kwa Mh Makonda mmeshaanza kulia lia na kutunga uzushi wenu hapa.

Kaeni kwa kutulia maana kwa sasa ni rasha rasha tu. Itakapoanza mvua yenyewe mtakosa hata kwa kujificha.
 
Back
Top Bottom