sijui kama ulishawahi kuvuka mipaka ya tanzania kwani hizo ni lami? unaelewa maana ya lami?hizo ni barabara za matope zipe 3years utanikumbuka ziko chini ya kiwango kwa aslimia 60 sasa ukijua maana ya barabara za lami rudi na hoja kwa sasa rudi polini ulipokulia ukachome mkaa zoba ni zoba tu
Naanza kabla pasco hajaja:
Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.
Kikwete = 11,154 KM of paved roads.
Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.