Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali

Mkapa kajenga kilomita ngapi za reli? kaiwacha reli ya kati imekufa, iliyojengwa na mjerumani, Kikwete ndio anaifufua.

Ya barabara yamekushinda umerukia reli?
zomba uliona project za huko thika Kenya zimesimama. Unafikiri miaka 2 iliyobakia inatosha kutimiza zile ahadi lukuki ikiwemo ile ya kubadilisha kigoma kuwa Dubai?
 
zomba uliona project za huko thika Kenya zimesimama. Unafikiri miaka 2 iliyobakia inatosha kutimiza zile ahadi lukuki ikiwemo ile ya kubadilisha kigoma kuwa Dubai?

Wakati Wakenya wanasomeshwa siye tulikuwa tunalimishwa na majembe vijiji vya ujamaa, ulikuwepo?

Wakati Wakenya walipowaacha wazungu waendelee kuwasomesha ingawa walipata Uhuru wao kwa vita, sisi tuliopewa madaraka bila vita, tulitaifisha mabenki yao, mashamba yao, majumba yao, matokeo yake sasa unawaona Wakenya wa maana, halafu bado akitajwa mnamsifia. Fikiri.

Sisi ndio kwanza tumeanza wakati wa Kikwete waliyoyaanza Wakenya kuanzia walipopata Uhuru.
 
Kuna kundi kubwa la watu hapa wamezaliwa Dar wanaishi Dar na watafia Dar.
sasa angalau basi wangekuwa wanatembelea maeneo yote Dar

Wanakokujua ni Pale wanakoishi kwenye nyumba walouziwa na serikali kwa bei poa na Posta mpya tu.

Hawa jamaa wakisikia kuna mafuriko huko Usangu kwa akina Maggid Mjengwa huwa hawaamini kabisa kama hiyo ni sehemu ya Tanzania.

Ndugu zao nyanya wakija kuwatembelea pale OysterB utawasikia.

tangu Baba zao wajenge nyumba za nguvu huko karibu na msitu wa MabwePande hawjaenda wanadai hawawezi kuishi karibu na mpaka wa nchi. Mweee!

" Hao ndugu zake baba wamekuja kumtembelea nyumba yote inanuka kikwapa sijui lini watarudi walikotoka??"

Mafanikio wanayo yaongelea ni yale ya Bar za mitaani kwao kuuza Nyama ya kuku toka Brazil na kusindikizwa na gongo kwenye chupa yenye label ya Martin.
Wachina kufanya kazi za Umachinga Dar
Kula Uroda kwenye SPA za Wasia zilizo jaa kila kona na foleni za magari kwenye barabara chafu zenye kufurika hata kukiwa na rasha rasha.
 
Wakati Wakenya wanasomeshwa siye tulikuwa tunalimishwa na majembe vijiji vya ujamaa, ulikuwepo?

Wakati Wakenya walipowaacha wazungu waendelee kuwasomesha ingawa walipata Uhuru wao kwa vita, sisi tulitaifisha , mabenki yao, mashamba yao, majumba yao, matokeo yake sasa unawaona Wakenya wa maana, halafu bado akitajwa mnamsifia.
Kuhusu kigoma kuwa Dubai?
 
Mkapa alilipa madeni yote Leo hii utawala wa miaka 7 ya mr dhaifu tuna madeni ya trilioni 23 kwi! Kwi! Kwi!

Unafikiri unakopeshwa kama huwezi kulipa? nenda benki ukajifunze.

0850.JPG
 
Watu wako kwenye ma shopping complex wewe uko mawazo ya miaka 7 nyuma. Watu wapo dynamic siyo stagnant kama nyinyi. Eti "tunataka kuuliwa". Kuna mfu akauliwa?
Amesha zijenga hizo shopping complex? Sisi tulio na uwezo wa chini tunataka ahadi ya zile machinga complex imepita miaka 2.5 lakini hata Kiwanja hamna hayo mambo ya kuuliwa ya thread yake tujikite kwenye hoja usitapetape
 
Naanza kabla pasco hajaja:

Mkoloni + Nyerere + Mwinyi + Mkapa = 6,000Km of paved roads.

Kikwete = 11,154 KM of paved roads.

Source: Magufuli bungeni na hansard zipo na hakuna Mbunge aliyepinga kwa kuomba muongozo wala utaratibu.

Mwehu wewe,huyu dhaifu kakuta miradi yote ilishawekwa sawa ikiwa imebaki utekelezaji tu.kwanza kachakachuahela ya makandarasi sasa ni madini tu kila barabara.kama unabisha kaongee na hawa makandarasi wakubwa wakueleze hii serikali dhaifu inavyofanya
 
Back
Top Bottom