Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 610
- 555
unaweza usiamini lakini ndivyo ilivyo yule dada aliniambia naomba iwe siri yako usije ukamwambia boy friend wangu wanaishi japo hawajafunga ndoa,na mpaka kukubali kwamba ni kweli maana sio siri ni uchafu nilioona kwenye ndoto,yan nilionyeshwa kila kitu alichopitia na madhara yaliyomtokea na nn hatima yake,kitu chakumsikitikia she can no longer conceive,na yeye mwenyewe amenithibitishia tayari ameshatembea hospitali nyingi sana ameambiwa vivyo hivyo.