Kwanini Waarabu hawana sigda?

Moderator funga uzi
Screenshot_20230614-191329.png
 
Kutokea kwa sijda ni maumbile (ngozi ya mtu) haijalishi uarabu wala uswahili wake.

Kuna watu ngozi zao ni rahisi kutokea alama hata akiswali siku 2 tu na kuna watu wanaswali miaka na miaka lakini hawatokwi na alama yeyote.

Sijda sio kipimo cha ucha Mungu ama uislam safi.
 
Ukubwa wa sigda inatokea kulingana na tone ya Ngozi yako Watu wenye Ngozi nyeupe mara nyingi hawatoki sigda hao ambao zinatoka either wanaswali Sana au wana kamindamiza vichwa

Tofauti na Sisi wenye Ngozi nyeusi sigda inatokea Kwa urahisi Sana na Kama ni mtu wa kuswali Sana ndio inakua kubwa zaidi .
 
Kutokea kwa sijda ni maumbile (ngozi ya mtu) haijalishi uarabu wala uswahili wake.

Kuna watu ngozi zao ni rahisi kutokea alama hata akiswali siku 2 tu na kuna watu wanaswali miaka na miaka lakini hawatokwi na alama yeyote.

Sijda sio kipimo cha ucha Mungu ama uislam safi.
hapo sawa
 
uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Ndugu yangu Sigda za waafrica zile ni shida hakuna mazuria na mikeka standard ya kuswalia kwenye misikiti yetu hii..
Ajabu niliwah kuambiwa na sheikh mmoja eti sigda ni alama huko akhera ukifika peponi itakuwa inawaka km taa..

Kila nikikumbuka huwa nacheka sana ule uongo
 
uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Hawahitaji kujiweka alama ili watambulike kama hawa watumwa wao wa kwetu wanaosugua mapaji yao waonekana wana imani wakati wengi ni wadhambi watupu hasa kwenye zinaa. Hata hivyo, wapo waarabu wenye sijda. Hata hivyo, wanaosifika kujichubua uso na kuweka sijda ni wasomali tena wengi majambazi yanayojificha kwenye uislam
 
uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Hawaitaji show off Kwa kuwa dini ilianzia kwao...mwafrika anataka sifa na kujikomba Kwa waarabu Ili akubalike
 
Ukubwa wa sigda inatokea kulingana na tone ya Ngozi yako Watu wenye Ngozi nyeupe mara nyingi hawatoki sigda hao ambao zinatoka either wanaswali Sana au wanakamiza.

Tofauti na Sisi wenye Ngozi nyeusi sigda inatokea Kwa urahisi Sana na Kama ni mtu wa kuswali Sana ndio inakua kubwa zaidi .
ile ni sugu ya paji la uso sababu ya ukosefu wa mikeka na madhuria standard ya kuswalia..
 
Wengine wanajisugua kwa makusudi,wanaamini siku ya mwisho hiyo sigda eti itakuwa ndo tochi ya kumulika kuanzia kaburini hadi akhera,

Naskia tu
 
uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Tuna uhakika wengine ni ya kutengeneza!🤣😂😅. Kama Waarabu wenye dini yao hawana sembuse mbantu?!😅😂🤣
 
Back
Top Bottom