Outing kwa wanandoa.

----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya uchovu wa kazi na majukumu ya week nzima. Mnaweza kwenda kuhang out clubs, bar,beach, pub au restaurant.Inategemea sehemu gani mnayopendelea.

Hawa wachumba baada ya kuwa wanandoa, haswa kwa wanaume utakuta ni wachache wanaoambatana na wake zao au family zao kwenda outing. Hapa bongo siku za weekend bar nyingi zinajaa wanaume, na hawa wanaume ni watu ambao wanandoa zao.

Swali langu ni hili, je wewe mwanaume inakuwaje unamuacha mkeo nyumbani na kwenda bar peke yako?

Na wewe mwanamke inakuwaje ukubali mumeo aende bar peke yake na wakati ilikuwa kawaida yenu kwenda pamoja kipindi cha uchumba?

Haya wanajamii tujadili hapa, najua wapo wanandoa humu wanaoenda out haswa bar na kuwaacha wake/waume nyumbani.

Hey Pretty hapa kuna maswali mawili

Unataka tuende na wake zetu bar au twende nao outing

Please specify hoja yako ieleweke

NN
 
mimi nafikiri wanawake wavivu sana kuwa mbia waume zao the way they feel, wanataka kila mara waume ndo wapange what is next hata kupanga outing inakuwa ishu mpaka ba ba ndo upange, wanawake na nyie mchangamke, kweli huo sio utani. unajua kutoka out ni garama, so wakati wa uchumba jamaa anakuwa anabembeleza ndoa, lakini anajua mkiwa pamoja si mambo yanaenda as a result anaona labda bibie hana shida na outing.

mimi mke wangu huwa ananiambia in advance, honey next week twende sehemu kujiliwaza na huwa matumizi ni 50% each, sasa mwingine atasema mimi hela yangu ni kwa ajili yangu---------hamna yangu kwenye ndoa, kila kitu ni vyetu.

lakini haya mawazo yangu jamani, msije hukumu.
 
mimi nafikiri wanawake wavivu sana kuwa mbia waume zao the way they feel, wanataka kila mara waume ndo wapange what is next hata kupanga outing

Yeah hapo umenena hata ratiba za kumega lazima atoe baba akiuchuna kama ana kimada nje basi mama ndani atakuwa analala njaa miezi na miezi hata kuuliza anaogopa
 
Wakati mwingine wanawake pia tusipende tu kusubiri kutolewa out, inabidi na sisi tuwe mstari wa mbele kupanga outing na kuwatoa waume zetu. Mi wangu tuna sheria, kila nikimtoa mara moja yeye anarudisha mara tatu. so hajisikii kama anaumizwa na budget maana hata mimi nashiriki.

kweli wewe ndio umenena maana wengine wanakaa ka ma golikipa yaani wasubiri tu nachukia hiyo kitu
 
Hey Pretty hapa kuna maswali mawili

Unataka tuende na wake zetu bar au twende nao outing

Please specify hoja yako ieleweke

NN

Nilikuwa namaanisha zote zote, outing najua ni kawaida kwa family au mke na mume kwenda.
Ila hoja yangu zaidi kwenda bar, nimeona baadhi ya wababa hapa wanadai wanaenda bar peke yao ili kubadilishana mawazo na wanaume wenzao.
Sasa cha ajabu mtu anaenda bar jtatu hadi jpili peke yake mawazo gani kila siku anabadilisha na wenzake?
 
mzima kipenzi nawackiliza hawa wakaka humu na stori zao wanazoenda kuongelea bar, mie mwenzenu kwa kweli najotokeaga tu nikirudi kanuna lakini ndio nimetoka hivyo jpili tupo hapo home nikiona anabadili tshirt na mie nabadili jeans, namwambia nakucndikiza uendako, anajua akinikatalia nitatoka tu mwenyewe anajikubalia tu safari inaanza.

Nyamayao hapa kweli umenena, hawa watu dawa ni kufuatana tu. Ukiona anaanza kujiandaa na wewe wajiandaa, mnaenda wote kuzitumia.
 
Fungwe na ushindwe na ulegee--------vitu gani ambavo nyumbani hupati ila ukienda bar unapata, kama ni bia si unaweza mwagiza house gal wako akanunue na kunywa na mamamsap home------acha bana, bar hakuna kitu zaidi ya vurugu tu
 
Na sijui kama unaelewa kuwa watu wa Tarime wakitembeza fito na vibao usoni ndo ishara ya upendo

Yaa, nina jirani yangu mkurya alikuwa anambamiza wife wake nikaenda kuamulia. Balaa lililonikumba sijapata kuona. Mshori ulinikoromea eti 'Unaamulia unataka kunioa wewe?" Lol! Nikasepa kwa aibu. Kwa wenzetu kipondo ni sehemu ya romance.
 
Outing zenyewe kama ni zile mnakwenda pamoja mnaagiza kinywaji/chakula kisha kila mtu gazeti basi afadhali nijipikie sima nyumbani! duh basi ukiwaona na wenzao wamechngamka kweli kweli. hivi ndoa huwafanya watu aje? mara mnakaa hamna cha kuambiana????????????? inatisha eti!!!!
 
outing zenyewe kama ni zike mnakwenda pamoja mnaagiza kinywaji/chakula kisha kila mtu gazeti basi afadhali nijipikie sima nyumbani! duh basi ukiwaona na wenzao wamechngamka kweli kweli. hivi ndoa huwafanya watu aje? mara mnakaa hamna cha kuambiana????????????? inatisha eti!!!!

...ha ha...

'Wanawake' wengine wanataka kukutoa raha makusudi tu! ...kila stori unayoanzisha inakuwa source ya ugomvi mpya...

"kinywa huponza kichwa!"
 
Back
Top Bottom