Outing kwa wanandoa.

angalia Geof mtajakosana na Fidel bure maana mwenzio kashaanza kujipanga mashambulizi kwa semenya, unawezakuta kashanunua ile waliomshauri xpin kule inaitwaje tena....eeh ultra thin sijui.

Hahaha! Binamu una kumbukumbu sijapata kuona. Lol!
 
Mi bana wanawake iwa siwaamini kabisaaaaaaaa maana rafiki yangu alinipora n'chumba hivi hivi eti kwa vile rafiki yangu half cast aka mzungu pori nyie wanawake mnapenda sana wanaume weupe sijui wana radha tofauti?

Mbona mi mweusi na mabinti wananishobokea kama kawa? Mpwa hebu fafanua kidogo hili.
 
Nilikuwa na mchumba angu sasa nilienda kumtembelea na kumtoa out tulikuwa wote na best angu white ni mzungu pori half cast basi kile kicheche kikamshobokea mzungu pori yaani ilikuwa balaa ikabidi nimwachie jamaa amege.
 
aha hah yaani ukaamua ku-give up pole lakini itabidi ujipange upya usijejikuta umeporwa tena
 
Hahahaha mm nahoji maneno matamu hayo kwa Xpin yanatoka moyoni?

Nakuhakikishia yanatoka deep inside my heart.
Chrispin mpenzi,nafikiri huu wasiwasi wa Fidel ni kwa sababu hatukutangaza matokeo ya zile kura zetu.Si unakumbuka Fidel80 naye ulimchagua kuwa shahidi?
Carmel,hii off topic ya mwisho.ntarudi kwenye mada nilikuwa naweka mambo sawa kwa shemeji Fidel.
 
ZD,
i can see you are MADLY IN LOVE!lol,
 
Back
Top Bottom