Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,703
36,149
Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha.
Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa.
Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda.
Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids inakuwaje?
Mnahonga mpaka pesa za ada za watoto wenu inakuwaje?
Kuna boya mirija ilikuwa inatiririka akajenga nyumba mbili kwa mpigo. Ya kwake na ya mchepuko. Mchepuko ulivyokuwa na nguvu ilianza kuisha ya mchepuko huku yake na familia yake ikiwa kama 60%.
Kazini akafukuzwa pesa ikakata mchepuko ukamfukuza na kumchana kuwa nyumba haimuhusu na hataki amwone arudi kwa mke wake.
Jamaa anapitia kipindi kigumu sana, kula kwa shida anafanya ujasiriamali mtaji sijui elfu 50 while nyumba ya mchepuko inagharimu kama millioni 30-40.
Hivi inakuwaje mwanaume unakuwa dhaifu kwa kiwango hichi?
Wengine mpaka pesa ya matumizi wanaomba kwa wake zao ilhali kazi wanafanya wao.
 
hujakutana na vichwa ngumu wewe usidhani umeona yote
 
Back
Top Bottom