Wanaume tumekuwa hatuna sauti mbele ya juju

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Karne zinavyozidi kwenda wanaume wamekuwa ni viumbe wanyonge sana. Unaweza kudhani ni Ngojera au hadithi maridhawa, kumbe ndio uhalisia wenyewe.

Hawa wanawake wengi wanaongoza kwa kupiga vipapai waume zao, kwa Kinaijeria tunasema "Juju", jambo linalopelekea wanaume wengi kuwa wanyonge ndani ya nyumba.

Unakuta kipindi cha uchumba na uhusiano wa kawaida, mwanaume ndio anakuwa Mwinyi, lakini gafla akiingia kwenye Ndoa kiautomatiki anakuwa mdogo kama piliton kwenye hayo mahusiano. Na kadri miaka na muda unavyozidi kwenda mwanamke ndio anakuwa mwenye sauti na maamuzi kuliko mwanamke.

Kumbe kipapai kilishapigwa kitambo, ameshafanya yake huko kashanuia maneno kama "Mimi ndio niwe mwenye sauti ndani ya nyumba, kila nitakalo mwambia anisikilize, anipende mimi kuliko wanawake wote, anisikilize mimi tu".

Kinachofatia ni mwanaume kupoteza hile nguvu ya kuwa dume ndani ya nyumba, unaanza kuendeshwa. Omba sana upate mke mcha Mungu, na wewe uwe mcha Mungu... Maana husipowindwa na mke wako, mchepuo atakuwinda na juju utapigwa. Msikilize Sheikh hapo chini

Mith 14:12 kwenye toleo la biblia ya MSG inasema "Kuna njia ya maisha huonekana haina madhara; tazama tena, huelekea moja kwa moja kuzimuni (mautini). Kiuhalisia watu hao huonekana kama vile wanafurahia maisha, lakini vicheko (furaha) hivyo huishia kwenye maumivu na kuvunjika moyo."

Tumenaswa kwa mitego yetu wenyewe. Tumeanguka kwenye mashimo yetu wenyewe. Tukumbuke wapi tumeanguka tutengeneze. Hii fact uliyosema ni kweli lakini angalia victims wengi imekuaje mpaka wakaingia kwenye hiyo mitego. Mtu una mahawara 10 wote wanataka hela zako utaacha kunaswa. Tunaiabudu ngono..inatuadhibu. Uchumi unaharibika, Maendeleo hakuna, Maradhi ndo usiseme. Anyways you can chose kati ya mauti na uzima. Vyote viko mbele yako. Your life your rules....
 
Umeandika vitu vya mhimu sana, ngono ukiiendekeza ndo basi tena kifutacho kurogwa na kufulia
 
Mith 14:12 kwenye toleo la biblia ya MSG inasema "Kuna njia ya maisha huonekana haina madhara; tazama tena, huelekea moja kwa moja kuzimuni (mautini). Kiuhalisia watu hao huonekana kama vile wanafurahia maisha, lakini vicheko (furaha) hivyo huishia kwenye maumivu na kuvunjika moyo."

Tumenaswa kwa mitego yetu wenyewe. Tumeanguka kwenye mashimo yetu wenyewe. Tukumbuke wapi tumeanguka tutengeneze. Hii fact uliyosema ni kweli lakini angalia victims wengi imekuaje mpaka wakaingia kwenye hiyo mitego. Mtu una mahawara 10 wote wanataka hela zako utaacha kunaswa. Tunaiabudu ngono..inatuadhibu. Uchumi unaharibika, Maendeleo hakuna, Maradhi ndo usiseme. Anyways you can chose kati ya mauti na uzima. Vyote viko mbele yako. Your life your rules....
Umeongea sahihi... Kwanza hao mahawara 10 unakuta hukuwataka kwa sababu unavihela wanaamua kukupiga juju wakuchune....

Kuna mkurugenzi mmoja wa wilaya moja alipelekwa mahali fulani, baada ya watumishi kuona kuna mkurugenzi mpya kila siku watumishi wa kike wakawa wanaenda kwenye maeneo ya ofisi zake wakinifanya wanashida...mpaka akajiuliza hawa shida zao haziishi kila siku.

Yeye akawachana, mimi nina mke na pia sirogeki...msijipitishe hapa mkajua mtanikamata. Baada ya hapo wakapunguza kwenda kwenda pale ofisini.

Hatukatai wapo wanaume wa mihemuko ya wanawake, lakini pia wapo wanaume wanaokamatwa na mahawara bila wao kujua....sasa hapo unakuta Wife kakupiga juju, na hawara kakupiga Juju... Akili lazima iyumbe, mwenye juju kali ndio anaku-control

Wanawake walivyokuwa wa ajabu, akishakupiga Juju ikashidikana ndio anarudi kwa mungu na kujifanya Innocent...

Acheni kuturoga
 
Back
Top Bottom