Outing kwa wanandoa.

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
552
----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya uchovu wa kazi na majukumu ya week nzima. Mnaweza kwenda kuhang out clubs, bar,beach, pub au restaurant.Inategemea sehemu gani mnayopendelea.

Hawa wachumba baada ya kuwa wanandoa, haswa kwa wanaume utakuta ni wachache wanaoambatana na wake zao au family zao kwenda outing. Hapa bongo siku za weekend bar nyingi zinajaa wanaume, na hawa wanaume ni watu ambao wanandoa zao.

Swali langu ni hili, je wewe mwanaume inakuwaje unamuacha mkeo nyumbani na kwenda bar peke yako?

Na wewe mwanamke inakuwaje ukubali mumeo aende bar peke yake na wakati ilikuwa kawaida yenu kwenda pamoja kipindi cha uchumba?

Haya wanajamii tujadili hapa, najua wapo wanandoa humu wanaoenda out haswa bar na kuwaacha wake/waume nyumbani.
 
Mimi nafikiri ni kwa sababu wake kipindi cha ndoa wana majukumu mengi tofauti na waume. Halafu pia wake wakati mwingine hawapendi kutoka outing kwa sababu ya kuchoka na shughuli za kazini au nyumbani, so anaona bora apumzike home. Ni mawazo yangu tu mdada
 
Ni kweli tuna majukumu mengi lakini kuna wakati wa kutoka out ,utasikia eti ooh naenda kubadilishana mawazo na marafiki zangu kwani sisi hatutaki kubadilishana mawazo??
 
Ila mie baba watoto simusemi vibaya huwa ananiruhusu kutoka out na marafiki zangu pale ninapojisikia ,mradi tu nimuombe /nimtaarifu :)
na mala kwa mala natoka nae labda siku hiyo akiniomba na nikiwa sijisikii namwambia aende mwenyewe
 
Wanaume tunaenda kupata vile ambavyo home hatuwezi kupata (Natania tu). Mie natoka naye out, leo nanunua jezi za ushabiki, wife ni yanga na mtoto wangu wa kiume, mimi ni simba na watoto wangu wawili wa kike. Eeeebwana hapatoshi. Gari moja kutakuwa na jezi za simba na yanga hiyo jumamosi. Jamani tokeni na familia nzima sio mume na mke tu je, watoto??? FirstLady sema hapo
 
mwanamke ukitaka mume akutoe out mkishakuwa katika ndoa............akikwambia naenda kuzungumza na rafiki zangu, mwambie basi na mie acha niende kuzungumza na rafiki zangu pia.
ukishakuwa tayari kurudi nyumbani ni-beep....
uone ataacha mara moja :D
 
Fugwe yaani umenichekesha hiyo itakuwa kama ze comedi teh teh mie nitakuwa pembeni na camera yangu :)
 
mwanamke ukitaka mume akutoe out mkishakuwa katika ndoa............akikwambia naenda kuzungumza na rafiki zangu, mwambie basi na mie acha niende kuzungumza na rafiki zangu pia.
ukishakuwa tayari kurudi nyumbani ni-beep....
uone ataacha mara moja :D

teh teh teh atanuna huyo ,atahisi huyu maza house anataka kuwa kidume ndani ya nyumba?
 
Wakati mwingine wanawake pia tusipende tu kusubiri kutolewa out, inabidi na sisi tuwe mstari wa mbele kupanga outing na kuwatoa waume zetu. Mi wangu tuna sheria, kila nikimtoa mara moja yeye anarudisha mara tatu. so hajisikii kama anaumizwa na budget maana hata mimi nashiriki.
 
teh teh teh atanuna huyo ,atahisi huyu maza house anataka kuwa kidume ndani ya nyumba?

unamwambia hayo with ur cuttest innocent face ON..........
lazima ajiulize mara mbili mbili "hapa inakuwaje sasa"
 
mwanamke ukitaka mume akutoe out mkishakuwa katika ndoa............akikwambia naenda kuzungumza na rafiki zangu, mwambie basi na mie acha niende kuzungumza na rafiki zangu pia.
ukishakuwa tayari kurudi nyumbani ni-beep....
uone ataacha mara moja :D

kwi kwi kwi kwi!nitaua mtu:D
 
Ni kweli tuna majukumu mengi lakini kuna wakati wa kutoka out ,utasikia eti ooh naenda kubadilishana mawazo na marafiki zangu kwani sisi hatutaki kubadilishana mawazo??

Mambo ya kiume kiume wewe yatakuhusu nini? Kama wanajadiliana maswala ya style mbuzi sijui kafanya nini mara mende anakimbia wewe haya unatakiwa kuyaona uwanjani.
 
haaaaaaa haaaaaaaaaa

umesahau na ile ya paka chong style nk,nk.hatakiwi kweli kuwepo.
Vitu ingine vyatakiwa kuwa kama surprise ,.....lol
 
Fidel80 mwenzio akijua hizo style kuna ubaya , :)
 
mwanamke ukitaka mume akutoe out mkishakuwa katika ndoa............akikwambia naenda kuzungumza na rafiki zangu, mwambie basi na mie acha niende kuzungumza na rafiki zangu pia.
ukishakuwa tayari kurudi nyumbani ni-beep....
uone ataacha mara moja.

Tafadhaali mkuu,hayo sio mambo sikawii kughairi outin
 
haaaaaaa haaaaaaaaaa

umesahau na ile ya paka chong style nk,nk.hatakiwi kweli kuwepo.
Vitu ingine vyatakiwa kuwa kama surprise ,.....lol

Unajua hawa iwa hawajui tu pale watu tunabadilishana mawazo wengine hawajui Katerero inapigwaje sasa mnapo kuwa kwenye mazungumzo mnabadilishana maufundi ukifika home lazima F1 uchanganyikiwe na maufundi.
 
Fidel80 mwenzio akijua hizo style kuna ubaya , :)

Fikiria tumekukatana kwenye kikao chetu cha jmosi au j2 na Mr. nae yupo huku na huku Masanilo anaingizia story kuwa dah ile wheel barrow style balaa huku pembeni kuna mdau Nguli nae anapigilia msumari hapa kati kuna Geoff nae anapigilia msumari hiyo lazima uwe umeshiba pembeni mpwa Chrispin nae anamwaga vitu wewe joto halita panda?
 
mwanamke ukitaka mume akutoe out mkishakuwa katika ndoa............akikwambia naenda kuzungumza na rafiki zangu, mwambie basi na mie acha niende kuzungumza na rafiki zangu pia.
ukishakuwa tayari kurudi nyumbani ni-beep....
uone ataacha mara moja :D

We danganya wenzako tu! Yaani aache kutoka kwa sababu umemwambia unaenda kuzungumza na rafiki zako? Kwani huwa anakunyimaga ruhusa? Pole. Mi wakwangu akitaka aende kuzungumza na marafiki zake, na aende! Hata akirudi asubuhi! Ila mi kutoka out kivyangu sitaacha.
 
huko baa kama shida ni kupiga story na wanaume wenzao, si kila mwanaume angekuwa anakwenda na mkewe, wanaume meza yao kuongea yanayowahusu na wanawake mezani kwao kupiga porojo zao, baada ya hapo kila mmoja anarudi kwake na wake..

haya mambo ya kwenda bar bila wake zao si yanaweza kuzusha majambo? ukizingatia habari za ma baa maid, wachunaji. na hivi vikundi vya siku hizi vya shake shake tunavyosikia vina "tumbuiza" wanywaji ukiongeza na kinywaji kwenye vichwa vya watu...mmmhhh!!
 
Fikiria tumekukatana kwenye kikao chetu cha jmosi au j2 na Mr. nae yupo huku na huku Masanilo anaingizia story kuwa dah ile wheel barrow style balaa huku pembeni kuna mdau Nguli nae anapigilia msumari hapa kati kuna Geoff nae anapigilia msumari hiyo lazima uwe umeshiba pembeni mpwa Chrispin nae anamwaga vitu wewe joto halita panda?

Hahaha! Akiwa na timu hiyo, kesho yake FL1 hatathubutu kutoka tena na hubby wake!!
 
Back
Top Bottom