meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
siasa imetuharibia wasanii
Mkuu Ngorunde,
Ni kweli mkuu wangu unajua wakati mwingine vidole vinakwenda kasi kuliko ubongo unafikiri.
Pamoja sana Mzee wetu, nina imani wote waliopata utata kama mimi tuko sawa sasa.
kweli kabisa kujisifia misifa kibao tu ndio kumebaki na kukashifu wengine wanaotaka chipukia. Roho mbaya na uchoyo ndiyo umewajaa.Hawana jipya. Wengine wameanza kutoa singo
Wangeendelea kuwepo na Mengi hizo Harrier na majumba waliojenga wangeyatolea wapi?Yule Mchaga anaijua hela kuliko unavyodhani ndiyo maana hata wafanyakazi wake anawalipa kiduchu sana!!Nilimsikia juzi akiendesha kipindi Clouds Mpoki alisema ana pub kigamboni.Jamaa wameshakaa vizuri kiuchumi sidhani kama kunyimwa mkataba mpya TBC (kama ni kweli) kutawayumbisha sana kiuchumi!!
bora waishie zao mbali! wanaboa sana na ukosefu wao wa creativity!
Wangeendelea kuwepo na Mengi hizo Harrier na majumba waliojenga wangeyatolea wapi?Yule Mchaga anaijua hela kuliko unavyodhani ndiyo maana hata wafanyakazi wake anawalipa kiduchu sana!!Nilimsikia juzi akiendesha kipindi Clouds Mpoki alisema ana pub kigamboni.Jamaa wameshakaa vizuri kiuchumi sidhani kama kunyimwa mkataba mpya TBC (kama ni kweli) kutawayumbisha sana kiuchumi!!
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
mimi naona walishindwa kutumia nafasi yao kufika mbali