Original komedy kwishiney

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa wa comedy hata kama walikuwa wananifurahisha sana tu sema ndio hivyo ivumayo haidumu na sidhani kama walibweteka lazima wamefanya uwekezaji wa namna fulani hata wa kuwa na nyumba za kupangisha sio mbaya..... tafakari chukua hatua
 
Nyie ndo mna bore kinoma mna wapoonda mara ooh wana i support ccm mbona wasnii kibao karibu wote walii support ccm na bado wapo juu nasema hivi komedi yao ni best hapa town kama una lia lia
 
Nyodo za mwenye shibe, ni kweli kabisa dakika waliyopo sasa hawa jamaa zetu hawakuitaraji, waliamin wamefika. lakini tusiwacheke safari ya maisha ni ndefu badala yake wasaidiwe na waelekezwe cha kufanya.
 
Ah wapi!! Walishamake hao huoni wanavyopendezo mwangalie Mpoki wa tax driver ya Msondo utajua. Kama hawakuweka hilo jambo jingine TBC katolewa Tido itakua hao bwana hii ndo. Bongo
 
Zamu yao kuigizwa walio fulia walikuwa wanawaiga wenzao akina lunyamila namwisho kuwa wamefulia sasa wangojee yamewafika.

Tatizo walilewa sifa za kijinga haya sasa kikowapi mm ntafurahi sana wakipotea kabisa kwenye ramani ya dunia.
 
Wakamwombe msamaha mzee Mengi hana noma atawasamehe tu

Wamuombe msamaha Mengi kwa kosa gani walilofanya? Kwani TV bongo ni EA na ITV tu? Mbona zipo channel nyingn nyngi wanaweza kufanya vipindi vyao
 
Naona mnataka kuleta uchama na siasa kwenye hili jambo . Hawa jamaa ni wazuri kuliko wale vilaza wa eatv hilo kila mtu anajua . Hakuna mtu bongo asiyemjua joti au masanja . Paka watoto wakawa wanaiga staili ya kushtua ( kijoti joti ) . Kosa sio kuhamia tbc ila kosa ni kuhama eatv na kumtukana mzee mengi aliyewafikisha hapo alipo .

Ile style ya Kijoti si yake mkuu aliiba kutoka kwa Martin Lawrence...
 
mimi nasema watu wote walioipigia kampeni au wanaendelea kuipigia chapuo ccm lazima laana iwaangukie.the original komedi wanavuna walichopanda,na kwa kweli hawa jamaa watafulia mpaka aibu..sijui watakimbilia wapi.walidanganywa na manji na vihela vya msimu.laana ya kuwapigia kampeni ccm inawala na itawala sana.

wote walopigia kampeni ccm laanakum
 
Wamuombe msamaha Mengi kwa kosa gani walilofanya? Kwani TV bongo ni EA na ITV tu? Mbona zipo channel nyingn nyngi wanaweza kufanya vipindi vyao

Ndo TV pendwa hizo mkuu!sawa na CLOUDS kwa bongo flava...
 
kuna wakati jf inahitaj vigezo vya kuwascreen great thinkers....!naona members wengi sasa wanaingia chaka

ni kitu gani ambacho hawa vijana wapambanaji wamewakosea wana jf????!!.....

acheni izo bana...!tukiamua kuuzungumza ukweli...hawa jamaa ni real comedians ever....!mnashindwa kuwapa support hata ya mawazo tu...mnapoteza time kuwazodoa..!acheeen iiizooooo....!

wabeyora na balantanta....i second you guys...!
 
Respect kwako mkuu!umemaliza kila kitu yaani humu JF kuna watu kazi yao kutimba local stars!!!nachojiuliza kuanguka kwa hao local stars watafaidika nini!!mimi hizo huita chuki!....kuna tofauti kubwa kati ya wivu na usongo!!!uzuri au kipaji cha mtu Mola ndo mpaji!wadau tuache chuki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom