Original komedy kwishiney

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana wengi wanajihusisha na masuala ya muziki like Joti(mchakamchaka) na Mpoki(shangazi)...na tayari single zao ziko sokoni...ukute walishajua kwamba kikinuka huku wataibukia kule...si tayari washakuwa maarufu.
Na Masanja ni mtangazaji wa Times FM..
 
hawa jamaa acha tu.walishawai kuniaibisha mbele ya mama mkwe hivihivi kwa kumpaka mama mkwe live,"tunakushukuru wewe m'mkwe kwani tokea umetoka kijijini kuja kwenye harusi ya mwanao hutaki kurudi kwako umeng'ang'ania tu kwenye sofa"kiukweli nilijisikia vibaya kama mimi ndo nimewatuma siku ya pili mama aliaga.!!

hahahahahaha! Hiyo kali.
 
Ni vibaya kuwaombea vijana wenzako mabaya!

Ila wenyewe walivyokuwa wanawaombea na kuwasanifu watu wenzao kila kukicha?
Ni wao ndio walitunga habari ya kufulia kwa kuwaonyesha watu wenzao na kuwacheka kuwa wamefulia au tumesahau sasa?
 
ni trend kwa wasanii wa bongo.. inasikitisha wakipata majina wanabadilika na kuwa na dharau.. sio hawa tu.. mnakumbuka Hasheem Thabeet nae alipokuja hapa na kuchonga kwamba hakuna aliemsaidia kufika huko alikofika..? matokeo yake na huko NBA akashindwa kucheza na kushushwa daraja.. my take ni wasanii kujenga nidhamu ya kuwa na heshima kwenye jamii.. hata kama wameudhiwa.. waweke uungwana katika kushughulika na maudhi..
 
Mabosi wa TBC wamekuwa wakipigana vikumbo kukwepa ku renew contract ya hawa vijana machachari wanaokosa umaarufu kila kukicha,taarifa zinasema wao wenyewe wameanza kushtukia hiyo baada ya kipigwa kalenda kila siku huku ma technicians wa TBC wakirudia rudia show zao zilizopita miaka mingi,,kwa nini TBC wasiwe wazi na kukataa ku sign au ku sign ili hawa wandugu wajue moja??Tbc wakikataa ku sign hawa jamaa itakuwa ndio mwisho wao au wataenda ITV?watathubu kwenda ITV na walishamtukana mzee Mengi live kila mtu aliona??waswahili wanasema usinyee kambi,,kazi ipo!
Mzee mengi atawasamehe tu wakitubu maana hawajua watendalo!
 
wamefuliiiiaaaa........... kula la leki..... back to the street.
walikuwa na dharau sana hawa. sipendi hata kukumbuka.
japokuwa napenda japo waoneshe kipindi cha umefulia....
kikiwahusu wao.
 
hawa jamaa acha tu.walishawai kuniaibisha mbele ya mama mkwe hivihivi kwa kumpaka mama mkwe live,"tunakushukuru wewe m'mkwe kwani tokea umetoka kijijini kuja kwenye harusi ya mwanao hutaki kurudi kwako umeng'ang'ania tu kwenye sofa"kiukweli nilijisikia vibaya kama mimi ndo nimewatuma siku ya pili mama aliaga.!!

hahaha aisee mi wameshaniabisha zaidi ya mara tatu kwa kukaa kwa ndugu mpaka naogopa kipindi chao,sheee.nz taip
 
Hawa vijana walikosea sana kumtukana mzee Mengi, watubu na waombe msamaha.
 
Hawa vijana walikosea sana kumtukana mzee Mengi, watubu na waombe msamaha.

who is Mengi bana?? nchi hii mtamfanya kila mtu mtume sasa

wale wana maisha yao, hata wasipoonekana kwenye TV,

nani asiyeogopa maisha?? nani ana hakika ya siku zijazo?

Nishindwe kusema ukweli leo ili nikiharibikiwa nirudi kwa aliyenikosea??

chai hizi mnajianika na pumba zenu, ndiyo akina Lamwai, kabourou, n.k wanafanya kama nyie mnavyosema yet mnawaita wasaliti!
 
Waberoya......Umemaliza aisee
 
Kama kweli walimtukana Mengi hata kama hawataenda kumuomba kazi,waende kumuomba radhi kwawalilofanya.Lasivyo watapotea kabisa kwenye fani!
 
who is Mengi bana?? nchi hii mtamfanya kila mtu mtume sasa

wale wana maisha yao, hata wasipoonekana kwenye TV,

nani asiyeogopa maisha?? nani ana hakika ya siku zijazo?

Nishindwe kusema ukweli leo ili nikiharibikiwa nirudi kwa aliyenikosea??

chai hizi mnajianika na pumba zenu, ndiyo akina Lamwai, kabourou, n.k wanafanya kama nyie mnavyosema yet mnawaita wasaliti!

Mkuu unajua wengi hatujui kwa nini waliamua kumdharau yule mzee hadharani vile'lakini walikosea bana'labda hawana washauri'tatizo letu watanzania hatuna vision kama wakenya wanavyodai'walikuwa na nafasi nzuri sana ya kufika mbali yaani ilikuwa iwe kazi ya kudumu forever'aaah lakini Mkuu wale jamaa hawana elimu bana!
 
hahaha aisee mi wameshaniabisha zaidi ya mara tatu kwa kukaa kwa ndugu mpaka naogopa kipindi chao,sheee.nz taip

Hawa jamaa hautakiwi kuangalia kipindi ukiwa umeenda kwa:
1.Shemeji'ko
2. Mjomba'ko
3. Ukiwa na mkwe wako
4. Unaangalia kipindi kwa jirani'ko
5. Ma house girl/boy ndo walikuwa wanapondwa kinoma af bado walikuwa wanakipenda kweli hcho kipindi.
La sivyo utatoka kuangalia kipindi na aibu kibao ka una roho nyepesi
 
Kwa jinsi ninavyoona mimi nahisi(kama ni kweli TBC wamekatisha nao mkataba) nahisi Management ya sasa ya TBC itakuwa ina matatizo ama wanataka waondokane na mikataba yote ambayo iliingiwa wakati wa TIDO/kuondoa program zilizoanzishwa enzi za TIDO.....

Vipindi vingi vya burudani vilivyoanzishwa enzi za TIDO havipo sasa.....Mfano Bongo Dar es Salaam, Burudani ni Nyumbani, Orijino Komedi Show, Boda 2 Boda na hata matangazo ya Live ya michezo ya Ligi Kuu ya Uingereza......Kwa ujumla TBC kwa sasa inarudi nyuma kwa kasi badala ya kuendelea mbele...

Kiukweli hauwezi ukawalinganisha Ze Comedy wa EATV na Orijino Komedi.....Wale wa EATV ni bure kabisa,hawana jipya zadi ya kuwaiga Orijino Komedi.....Hata Futuhi ina uafadhali.....

Kwangu mimi VITUKO SHOW ya Channel Ten ndio Mwanzo mwisho......King Majuto, Onyango, Mwita Maranya, Sharo Milionea, Masele Chapombe, Mzee Pembe, Mzee Toffi, Asha Boko, Shangazi/Madoido, Senga, Chilli, Mkono,Kingwendu, Erick na wengine.....Hawa jamaa wako juu kuliko maelezo

Uko sawa kabisa vituko show ya channel ten inakimbiza mbaya. Akina king majuto, sharo milionare, na yule teja wananiacha hoi.
 
Last edited by a moderator:
who is Mengi bana?? nchi hii mtamfanya kila mtu mtume sasa

wale wana maisha yao, hata wasipoonekana kwenye TV,

nani asiyeogopa maisha?? nani ana hakika ya siku zijazo?

Nishindwe kusema ukweli leo ili nikiharibikiwa nirudi kwa aliyenikosea??

chai hizi mnajianika na pumba zenu, ndiyo akina Lamwai, kabourou, n.k wanafanya kama nyie mnavyosema yet mnawaita wasaliti!

Mkuu mimi simtetei Mengi wala siwachukii hawa vijana ila nilimaanisha kuwanasihi watu wote kua tunapokua na mgogoro na mtu ni vizuri kuyamaliza kibinadam badala ya kutoka nje na kuanza kumtusi mwenzio. BTW "OK" bado wanapendwa na watu wengi, hivyo wafanye hima kukilinda kikundi chao ili kisipotee kabisa aidha kwa kutafuta channel nyingine au ku-renew mkataba wao pale tbc. Na watakapo renew mkataba au kupata channel nyingine basi wajitahidi kubalance stori zao wasiegemee upande mmoja maana pamoja na kuburudisha wanaelimisha pia, Asante kwa maoni yako, nimeelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom