Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............
Halafu ukisema hivyo itakuwaje? Kuna utakachopata kweli? Lakini kuna watu huwa wanazipenda hizo maana kila anapoulizwa vipi wewe unaishi vipi bila ile kitu anasema mimi niko single. Kumbe yeye anapona kwa one night stand kila wakati. What a strategy?!!