UTAMU WA TABATA: Hook up joint na watoto wazuri, one night stands, kula kuku

Herymiller

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
613
859
Habari zenu wakuu na wadau wote wa MMU. kama wapaitavyo wenyewe "Tabata kwa wala bata" ni kweli especial kipindi hiki cha vyuma na girisi, kwa hapa Dsm kwa sasa ndio sehemu cheap ya kula kuku na watoto wazuri watafutaji na wapambanaji.

Kuna viwanja kama 40 40 pale bima kupo classic mademu wakali wenye michongo yao wanapendelea kutulia pande zile so mafisi nao wapo wakipiga doria, sometimes mbuzi wanafia kwa wauza supu but all in all bata wanaliwa pande zile pia The great park, kwetu pazuri and mikasa.

Watu baada ya hustle wanakula kuku iwe kwa mtoko, hookup or one night stand.
Nimewapa code wazee wenzangu wa economy class, team tusiopenda kupasuka ila tuna kwangwarua kwa mbali sanaaa.
 
PEP asikwambie mtu kama mwili wako dhaifu zinachosha mno,best yangu alipiga malaya kavu kavu hapo hapo tabata 40,40.akaja kutonywa kuwa demu amewaka ikabidi atumie PEP kwa siku 30 hizo dawa kama mwili dhaifu utaisoma namba.
ALL IN ALL PLAY SAFE TABATA SIO SEHEMU SALAMA

Alitumia PEP bila kupima.?
 
Huyo best wako lazima akitoka salama hapo ajitulize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom