"One night stand" yaacha majeruhi na uhasama....ilikuwaje?

Well sasa mnalalamika nini............ The hit and run thing does not have to come smoothly jamani just kama inavyokuwa kwa hao mnaowahit na kuwakimbia. So usumbufu lazima uwepo couse hata mnachokifanya nini si sahihi.

Unajua MJ1, hata nyie akina dada mna entertain hii hali ya kudanganywa!kwani kama mngetoa miongozo mda mrefu tu kuwa jamaa akikuapproach na akakwambia straight kuwa anataka apige mzigo kisha atambae na nyinyi pasipo ubishi mkaona ni hali ya kawaida wala kusingekuwa na mgogoro!

Lakini tatizo ukienda straight unaweza ukaonekana kama kichaa au mwendawazimu!utasikia eeeh huyu kaka vipi, kaniona mi malaya nini!!!!sijui ananiambia ushenzi gani yaani anafikiri mimi nauza............
 
Sawa kabisa mkuu na usipoangalia hapo na mawe utayapata.
 
Tatizo ukiweka wazi mbinu huwezi pata mrembo lazima ufungwe kamba ndo kieleweke.
Cousin... kuna faida ya kuwa muwazi unless unatongoza vitoto. Watu wazima wanaelewa na kama hawataki watakupa ukweli mtupu na ni vizuri uuheshimu
 
Huwezi kuwa muwazi kama unataka kupiga mara moja kama mzee wa Holy Bible hapo juu. Lazima atatoa nje tu. Ni kama vile unapovua samaki kwa kutumia ndoana. Unaweka chambo kule mbele...samaki anaingia mwenyewe kiulaini. Akija kutahamaki yupo kikaangoni! urafiki umeisha
 
Cousin... kuna faida ya kuwa muwazi unless unatongoza vitoto. Watu wazima wanaelewa na kama hawataki watakupa ukweli mtupu na ni vizuri uuheshimu

mkuu sorry, uwazi hapa haupo na ukiuleta tu basi umekosa kila kitu!hii si kwa mabinti tu hata watu wazima, ili kupata mzigo ni lazima uongope tu!sema ile magnitude ya uwongo ndo inatofautiana baina ya vitoto na mtu mzima!!!!
 
uwazi upo sana tu

ndio maana nikasema unless unatongoza vitoto... mtu mkubwa na mwenye upeo huwa anjua exactly what you want hata kabla hujasema na kikubwa zaidi ni kwamba admiration has to be both ways ndio uweze kumpata so no matter what lies you bring, kama hakutaki ni hakutaki tu... unless ndio wale wapenda pesa au wauzaji, and to me those are not worth your efforts kwani hawana scope, wanweza kubeba chochote chenye pesa au sifa au mali

Lets not underestimate wanawake wa leo na hasa wale wenye upeo jamani, they knwo what we want sometimes even before we speak

Life is very simple if you become real and is complicated if you pretend

BE REAL
 
One Night Stand ndio kinajadiliwa hapa siyo....

Hii gari ya mama
 
Sometimes sikuelewi kabisa Babu na methali zako........................MAma Big anakutafuta huko anasema anataka umwambie ukweli One night Stander
 
heri yangu mimi natumia ngawira kutii kiu yangu baada ya hapo sihitaji msongamano.
 
Hapa pande zote mbili zinastahili kubeba lawama.

On the men's side, wengi wanaipenda sana hiyo NSA (No Strings Attached) lakini huwa hawapendi kuiweka wazi pale mambo yanapoanza kwa kuhofia rejection. Kwa hiyo wanaamua kuwa kimya au kujifanya kama wamedata sana kumbe mhhh. Wakishapa kile walichotaka, basi ndo imetoka hivyo.

On the women side, wengi wao NSA siyo preference yao, unless awe atafuta maslahi fulani, hasa pesa. Ukiangalia kwa undani utaona wanawake wengi huwa wana kama ka-desperation fulani hivi ka kuwa kwenye LTR (Long Term Relationship). Nadhani (sina uhakika sana) hii ni kitu nature kwa wanawake (femininity). They want to have someone they can depend on (by 'depend' sina maana ya kuwa ombaomba). Kwa hiyo mara nyingi wanadhani kila ajaye kwao anaweza kuwa someone for a LTR.

Sasa, hizi ni two different sides of a coin. Inatakiwa aina fulani ya balancing ili kuzilete pamoja zielewane. How? Inategemeana na mazingira na watu wenyewe.
Nawasilisha
 
Cousin... kuna faida ya kuwa muwazi unless unatongoza vitoto. Watu wazima wanaelewa na kama hawataki watakupa ukweli mtupu na ni vizuri uuheshimu
Dunia bahati mbaya sana haiko hivyo.......................mahusiano ya leo yanakwenda kwa mahesabu sana...........ukiyakosea basi umekwisha..............................
 
Kaka yangu Ruta ningeomba usibold wala kuunderline hii hoja coz its not always what you think..........anachokiongea Acid ni kweli kabisa na kipo na bahati mbaya /sijui nzuri kinakuwa kwa kasi sana...........People are dating on certain bases including...... mie natamani kujua tu utundu wako kunako sita kwa sita....tena usijeshangaa mdada ndo akaisema hio meaning kuwa akishaujua utundu wako no string attached..........akiutamani tena siku nyingine anakwambia.......sasa hapa hit and run sijui inakuwaje but believe me kuna friends for sex-bases and for love bases..............
 
Ninakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kuwa hiyo trend is growing but it is still precocious..................changa na haiwezi kuiongelea jumuiya nzima ambayo bado imekamatwa kwenye mila na desturi...................utashangaa mwanamke kaolewa lakini hata aishi na mwanaumme kwa miaka 30 kama mumewe lakini atajitahidi kuonekana hausudishi mechi ili aonekane ni mwadilifu..............ingawaje akichepuka huonyesha ufundi wote alionao..........................
 
Ok Kaka yangu I rest my case................ nakubaliana na wewe but kaka................infedility jinsi inavyokuwa I doubt kiwango cha adherence in mila na desturi kaka yangu
 
Back
Top Bottom