"One night stand" yaacha majeruhi na uhasama....ilikuwaje?

Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............

Halafu ukisema hivyo itakuwaje? Kuna utakachopata kweli? Lakini kuna watu huwa wanazipenda hizo maana kila anapoulizwa vipi wewe unaishi vipi bila ile kitu anasema mimi niko single. Kumbe yeye anapona kwa one night stand kila wakati. What a strategy?!!
 
..................
Yule mwanadada alipogundua kumbe hii njemba ni "hit and run" na wala siyo mwanaumme mwenye mipango madhubuti ya kuishi naye moja kwa zote.....................hasira zilimpanda na akaanza kumsema vibaya jamaa kuwa uume wake kwanza ni mdogo sana na hata mapenzi kitandani hajui................................................na mambo mengi kibao ya hapa na pale.....Akamchafua mtaani ile mbaya..............mwenzie akanuka kwa kauli hizo chafu...............za sour grapes..............

Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu?

Ha ha haa jamaa aliipeleka bongo yake likizo, uongo unaumiza sometimes, masikini mdada wa watu anamegwa huku ana - imagine hii ndio future, kumbe tu anauziwa mbuzi kwa gunia? Lazima alianzishe.
Ukiamua kuongopea kwenye masuala haya lazima ujiandae na pre-emptive measure, - na hapa ilitakiwa jamaa agawe dozi ileile :
Mdada ameongopa kwamba uume mdogo jamaa na atafute tu ata vichangudoa bomba hata na awalipe ili kusambaza kwamba wanaikimbia kalashnikov yake kwa ukubwa na inaweza kumpeleka mtu hata ICU. Trust me hizo rumours zitaisha mfano wa moto ulionyeshewa na mvua.
 
Hahahahahaha,nimewahi kupata kesi kama hii!

Hadi leo ni kama maadui hivi dah
 
Tatizo ukiwa mkweli huhudumiwi........................ukweli hakuna mwanadada anayetaka kusikia...........hata tunapoomba kumegewa kwanini hamtuulizi mipango ya muda mrefu kama ipo? NI baada ya shughuli nzito hapo ndipo mnapofungua makucha yenu..........ni kwa nini jamani?

mbona wapo wa mkataba,jolly,kwa macheni wamejaa kibao.....?
 
Ha ha haa jamaa aliipeleka bongo yake likizo, uongo unaumiza sometimes, masikini mdada wa watu anamegwa huku ana - imagine hii ndio future, kumbe tu anauziwa mbuzi kwa gunia? Lazima alianzishe.
Ukiamua kuongopea kwenye masuala haya lazima ujiandae na pre-emptive measure, - na hapa ilitakiwa jamaa agawe dozi ileile :
Mdada ameongopa kwamba uume mdogo jamaa na atafute tu ata vichangudoa bomba hata na awalipe ili kusambaza kwamba wanaikimbia kalashnikov yake kwa ukubwa na inaweza kumpeleka mtu hata ICU. Trust me hizo rumours zitaisha mfano wa moto ulionyeshewa na mvua.

sioni HOW..???
hapo akifanya kama unavyomuelekeza,huyo dada naye atatafuta rumours nyengine kabambe za kumchafua huyo kaka...wote watajikuta kny endless cycle ya kuchafuana...
ni mmoja kujifanya mjinga na kukaa kimya...ndio solusheni...
 
Dunia bahati mbaya sana haiko hivyo.......................mahusiano ya leo yanakwenda kwa mahesabu sana...........ukiyakosea basi umekwisha..............................
Mahesabu si hesabu mahesabu ni tactics, and reality is the trick

do not under estimate women ndugu yangu... you can only belittle wale wanaouza na watoto wadogo tu!!
 
Kaka yangu Ruta ningeomba usibold wala kuunderline hii hoja coz its not always what you think..........anachokiongea Acid ni kweli kabisa na kipo na bahati mbaya /sijui nzuri kinakuwa kwa kasi sana...........People are dating on certain bases including...... mie natamani kujua tu utundu wako kunako sita kwa sita....tena usijeshangaa mdada ndo akaisema hio meaning kuwa akishaujua utundu wako no string attached..........akiutamani tena siku nyingine anakwambia.......sasa hapa hit and run sijui inakuwaje but believe me kuna friends for sex-bases and for love bases..............
Kamanda, inawezekana tunachanganya type ya wanawake wanaoongelewa
kwanza ni wale machangu... hao kweli mbinu ya ruta lazma ikubali
pili ni wale wanawake wenye staha au working class ambao wengi wanaweza kula na kulala... hao huwapati kitoto, you have to be real
 
Hata ukiwapata kwa kazi nzito bado ukiwaacha kasheshe tu lipo litakuandama hata la kununiwa vile..................na kauli za kichinichini vile za kukusaga......kimyakimya...................Hujui hazitaki mbichi hizi huku akijua zimeiva?
 
Wanawake wengi hawapendi kuambiwa ukweli, ukimwambia tu tabu inaanza, ila siku hizi njia nyepesi ya kumpiga chini mtu ni kumwambia ukweli kuwa nyumba haiuzwi atajaza aanze au atimke
 
Kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la milele........................kwa hiyo kila mmoja usiku huo alikuwa na njozi zake.................

Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem...............njemba iliitikia tu ikijua hiyo ilikuwa a forgettable "One night stand" yaani ndiyo imetoka hivyo lakini njemba huyu hakujua alikuwa amejiingiza bila ya kupenda au kutahadharishwa kwenye vurugu na kasheshe nzito vile.............

Pamoja na jitihada za kumkwepa mwali huyo jamaa alijikuta akiandamwa na sms kibao na simu za hapa kwa pale...................alipoona ni usumbufu ilibidi amwambie wazi mwanadada huyo kuwa .........................aiseeeeeeeeeeeee.............it is over................

Yule mwanadada alipogundua kumbe hii njemba ni "hit and run" na wala siyo mwanaumme mwenye mipango madhubuti ya kuishi naye moja kwa zote.....................hasira zilimpanda na akaanza kumsema vibaya jamaa kuwa uume wake kwanza ni mdogo sana na hata mapenzi kitandani hajui................................................na mambo mengi kibao ya hapa na pale.....Akamchafua mtaani ile mbaya..............mwenzie akanuka kwa kauli hizo chafu...............za sour grapes..............

Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu?

Wacheni niwaambieni, huyo jamaa baada ya kumega....akaona .....aaahhh ..... hapana, mkuku ,kubwa!!!!,
Kama angepata mambo yenyewe!!!!, angerudi na kuchonga mzinga.

Mambo ya waume madogo bana (Always Try once, Twice if I like it..). Watu wakimbia nyumba zao wakihamia kwa machangudoa!, mwanaume kumshika rahisi, akipewa sawa sawa, anabaki akihangaika kumtafuta!!!!!!!!.
 
hiyo mbaya sana, mimi nilishawai kuambiwa nina govi, tena niliambiwa na mke wa mtu kwasababu nilimkataa nikamkimbia kwa nguvu zangu zote. hiyo ilikuwa enzi zangu...mama alinifukuzia kwa nguvu zake zote, alivyoona nimempata kimwana mdogo kuliko yeye, alienda kupigana ngumi za mchana na yule mchumbangu, walidukuana, akanipigia simu ya matusi ya nguoni kwa nusu saa hadi mimi nilipokata simu kwasababu alikuwa ananimaliza kwa matusi...akaanza kunitangaza mtaani kuwa mimi nina govi...alisahau kabisa kuwa ameolewa...chaaajabu ni kwamba, hata mme wake hakugundua kilichotokea, watu walikuwa hawamwambii huyo mwanaume, nililishwa na huyo mmama, nilipikiwa vyakula, nilioshwewa vyombo, kuja kumkimbia ilikuwa shuguli......kuambiwa unao mkono wa sweta wakati hauna inauma....nilikuwa tayari hata kuvua kaputura nitembee barabarani ili watu waone kuwa sina mkono wa sweta, lakini ikawa ngumu...wengi waliamini hivyo. mke wangu ndo anaujua ukweli wake.
 
Kama mumewe hakujua ni bahati yako ila kiroho amejua na umemkosea. Siku nyingine muogope mke wa mtu kama ukoma.
 
inauma bwana mtu anakulala siku moja anakimbia unaweza fikiria una kimavi gani lazima ata act out of control though haijawahi nitokea lakini huwa napata picha ya maumivu makali mwambie mtu ukweli aamue mwenyewe sio unamdanganya halafu unapiga na kukimbia
 
Mkweli hapendwi.....................na hapendeki...............
 
sio kwel Ruta mi napenda mtu mkweli aseme tu atakama inauma ntakubali tu hayo ndo anayoamini mtu anakudanganya we mwisho wa siku kumbe alikuwa na lake jambo wanawake wapo wengi tu ukiwaambia ukweli wanaelewa sio kila mtu anataka relationship ya kudumu wengine umpooze usiku mmoja utambae sasa kwanini ujipe shida ya maungo mengi halafu uje ambulia mawe ya kichwa
 
Demu alikuwa mrahisi sana kutoa malavidav halaf k yake itakuwa kubwa ndo maana aliona mshkaji ana kitoothstick.
 
sio kwel Ruta mi napenda mtu mkweli aseme tu atakama inauma ntakubali tu hayo ndo anayoamini mtu anakudanganya we mwisho wa siku kumbe alikuwa na lake jambo wanawake wapo wengi tu ukiwaambia ukweli wanaelewa sio kila mtu anataka relationship ya kudumu wengine umpooze usiku mmoja utambae sasa kwanini ujipe shida ya maungo mengi halafu uje ambulia mawe ya kichwa
Heri ingelikuwa hivyo lakini wengi wetu hatupendi wakweli na ndiyo maana kuna motisha kubwa ya kudanganya.................na madhara yake ndiyo hayo....................
 
Rutashubanyu[COLOR=black said:
ma;1274643]Kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la milele........................kwa hiyo kila mmoja usiku huo alikuwa na njozi zake.................

Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem...............njemba iliitikia tu ikijua hiyo ilikuwa [/COLOR] a forgettable "One night stand" yaani ndiyo imetoka hivyo lakini njemba huyu hakujua alikuwa amejiingiza bila ya kupenda au kutahadharishwa kwenye vurugu na kasheshe nzito vile.............

Pamoja na jitihada za kumkwepa mwali huyo jamaa alijikuta akiandamwa na sms kibao na simu za hapa kwa pale...................alipoona ni usumbufu ilibidi amwambie wazi mwanadada huyo kuwa .........................aiseeeeeeeeeeeee.............
it is over................

Yule mwanadada alipogundua kumbe hii njemba ni "hit and run" na wala siyo mwanaumme mwenye mipango madhubuti ya kuishi naye moja kwa zote.....................hasira zilimpanda na akaanza kumsema vibaya jamaa kuwa uume wake kwanza ni mdogo sana na hata mapenzi kitandani hajui................................................na mambo mengi kibao ya hapa na pale.....Akamchafua mtaani ile mbaya..............mwenzie akanuka kwa kauli hizo chafu...............za sour grapes..............

Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu?
RED: maneno ya mfamaji hayo..!!
Men love thru' sex and women sex thru' love!!It's that simple!!
 
Back
Top Bottom