Mlalahoi,
kwanza labda nianze kwa kamsemo "mambo ya tibwilitibwili tumuachie tibwili mwenyewe"
lakini mzee umeongea mambo mazito sana, unajua mimi ni mkereketwa sana wa siasa za tanzania na kweli wakati nasoma reply zako damu ilikuwa inachemka.
Sijaweza kupata muda wa kusoma reply zote katika hii subject lakini nimeona mmegusia mambo mbalimbali ambayo kwa mtazamo wangu ni "very hot or burning issues of our time"
mfano hili la freeman mbowe na chedema kwa ujumla,
Influence of media katika siasa za bongo na influence za politicians na dola kwa media,
issue ya independent candidates,
Na suala zima la jinsi gani ya kupambana na umaskini katika taifa hili ambalo kila siku inapopita raia wake wanasema "afadhali ya jana"
nikianza na suala la freeman mbowe, nafikiri huyu bwana mpaka sasa amejitahidi kwa kiasi fulani katika kukuza demokrasia hii ya vyama vingi hasa ukimlinganisha na viongozi wengine wa vyama vya upinzani kama ibrahim lipumba,augustion mrema, james mbatia na wengine...
Lakini ni wazi kuwa kura alizopata freeman kwenye uchaguzi hazilingani kabisa na nguvu na gaharama alizotumia katika kampeni,na hata kwa upande wa ubunge chadema imefanya vibaya sana kuliko tulivyotarajia,
Kwa mtazamo wangu nafikiri chadema hawakufanya analysis vizuri na hawakua na longterm stratergy ya kufanya vizuri katika uchaguzi,
Hii unaweza kuangalia kwa mfano kwenye sera ambazo mbowe alikuwa akizinadi kama hii ya "majimbo" ni wazi kuwa alikuwa akinadi sera ambayo ilikuwa ikimmaliza mwenyewe na hata kama kuna watu au watalaam walimshauri auze sera hii kwa kweli hawakufanya research yao vizuri,
Sera ya majimbo (iwe ni nzuri au mbaya) ni vigumu sana kuiuza kwa watanzania kwasababu watanzania wanaamini zaidi katika sera zinazo waunganisha zaidi kuliko kuwatenga na ni wazi kuwa CCM waliitumia sera hii kama msumari kwa chadema kwa kusema kuwa chadema wanataka kuigawa nchi mfano eti mlima wa kilimanjaro uwe ni wa "wachaga" na ziwa la tanganyika ni la "waha", wakati watanzania wanataka kujivunia kwa pamoja rasilimali zilizopo.
Hivyo kwa mtazamo wangu "atleast" kwa miaka kumi ijayo sera kama hii waisitishe kwanza na inahitaji mda kuwaelewesha watanzania mpaka waelewe.
Kwa sasa nafikiri chadema itumie "tactics" kama zile za ccm za kunadi sera za UMOJA WA WATANZANIA, KUPIGA VITA UKABILA NA UDINI na muhimu kuja na sera makini ambazo zinaweka wazi ni jinsi gani chadema inaweza kuwa chama mbadala kwa ccm hasa katika kuondoa umaskini katika taifa hili.
Kwa kweli watanzania wameichoka ccm lakini wanajaribu kuangalia ni chama gani mbadala kwa ccm wanajikuta hawana jibu zaidi ya kuendelea kuiweka ccm,
mfano
wakati mrema alivyokuwa "mrema hasa" na alipo ingia NCCR mageuzi alikuwa ni tishio sana, na infact aliungwa mkono na watanzania wengi sana including a lot af academicians pale mlimani,
baada ya mrema "kubore" na kuanza kuyumba na kuwayumbisha watanzania alidissapoint watu wengi saana na hivyo kufanya upinzani uzaraulike kwa watanzania,
kwahiyo dhana ya kuwalaum watanzania katika failure za upinzania tanzania haina mantiki bali tatizo linatoka kwa viongozi,upinzani upo tu kama meli iliyo baharini bila nahodha wa kuilekeza iende wapi,
watanzania bado hatujapata chama cha kukiamini kukipa dola kwa sasa na kama hali hii ya sasa ya kusubiri mpaka wakati wa uchaguzi ndio watu wanaamka kuanza kunadi sera zao nafikiri hatutapata madiriko yeyote ya uongozi katika taifa hili.
na zaidi vyama hivi vijenge utaratibu wa kubadilisha hata wagombea, mfano tungependa kuona watu walioshindwa uchaguzi mwaka jana wakae pembeni walete watu wapya,
tumechoka kusikia mtu kama ibrahimu lipumba,augustion mrema, mtikila, kwakweli kuliko kuja na hao watu ni bora hata wasisimamishe wagombea maana uchaguzi wa mwakajana umeonyesha kuwa wengine hawakupigiwa kura hata na ndugu zao.
kwahili suala la "influence" ya media katika politics za tanzania nalo kwakweli ni very "serious" kwasabababu hatari iliyopo ni hii ya vyombo vya habari kuegemea upande fulani kutokana na either vile vyombo kuwa na uhusiano au kuwa na hofu ya "existence" yake baada ya uchaguzi,
tunatakiwa tuwe na "independent body" ambayo itakuwa ina "scrutinize" hivi vyombo vya habari, ili tuwe na free, independent na fair media,
its ok kama chombo cha habari kama uhuru kikisema kabisa kabla ya uchaguzi kuwa kitakuwa kinacampagne kwa ccm ,
lakini kitendo cha vyombo kama vya ippmedia kusema kuwa viko neutral wakati vinatoa asilimia 90 "coverage" kwa mgombea wa ccm na pia "kuinflunce opinion" ya watanzania "it is totally unfair" and "unacceptable" na kwa hili ippmedia walitakiwa wawajibishwe na vyombo maalum.
kwa hili la independent candidate hilo tunaweza kuwa na maoni tofauti tofauti lakini zaidi hili ni "threat" kwa ccm kwasababu zote zile, wagombea wale watakao kuwa wananyimwa nafasi kule kwenye kura za maoni itakuwa ni rahisi kwa wao ku run kama "independent candidate".
lakini kwa upande mngine kama taifa sidhani kama ni suala zuri sana, kwasababu mtu anapo run kama independent inamaana hana sera yeyote ya chama bali yeye ni kama mtu na wakati mwingine inakuwa ngumu kwa serikali inayokuwa madarakani kusikiliza sera za mtu mmoja maana hakuna uhakika kama anaongea yeye kuwawakilisha watu wale waliomchagua au anaongea yeye kama yeye,
kama taifa hii siyo isu ya kuisimamia sana ingawa inaweza kuwepo hapo kama kuwapa watu nafasi ya kupumua pale wanapokuwa wanadhulumiwa katika vyama vya siasa.
naomba niwakilishe.