Ole wenu CHADEMA!

Kuna kubwa kuliko hili?
Habari zinasema kwamba huko nyuma, mbinu zilizotumika kuwamaliza wapinzani ni pamoja na kupenyeza watu wao ndani ya vyama vyao ili walete vurugu, jambo wanaloweza kulifanya kwa CHADEMA pia, ili viongozi na wanachama wagombane, wafukuzane.
 
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
 
.......

Mitaani, mwanasiasa anayezungumzwa sana kwa upande wa upinzani, huku akipewa nafasi ya kukua zaidi ni Mbowe.

Vyanzo vya habari vinasema CCM wamefanya utafiti, wamelijua hilo , na hawawezi kumwachia akashamiri, kwa sababu
hawataki kusumbuliwa katika uchaguzi wa mwaka 2010.


Chanzo: Tanzania Daima » Account Suspended
Kumbe ndo maana walipoteana 2010, nguvu zote walizielekeza kwa Mbowe, wakasahu kuwa CHADEMA ni taasisi.
 
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
Ajabu ni kwamba baada ya wavurugaji kujulikana na kutimuliwa kikosi kilichobaki kimezidi kuimarika kwa kupata wachezaji wapya na kuwaacha waandaaji wakivurugana wenyewe kwa wenyewe! Mbinu za kumdhoofisha Mbowe yaonekana zimegonga mwamba na badala yake kwa sasa ndiye Kiongozi wa Upinzani bungeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom