Elections 2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

Seif anam-mwagia dr shein misifa kem kem, (jamaa nafikiri anawaza nafasi yake katika serikali ya mseto)
 
Tuombe mungu jamani vurugu zisitokee tena, tumuombe mungu na majibu yoyote yatakayotangazwa tuyakubali,
 
Ameishukuru tume ya uchanguzi na kuipongeza

Ameongeza kuwa kulikuwa na dosari ambazo lazima zirekebishwe
 
Mhhhhhh. Hapa mi naona Seif kala deal tu yaishe awe waziri kiongozi. Kwa tofauti ya kura 3500 hisingekuwa rahisi kukubali matokeo so simple. Hapa deal imefanyika.
Mbona wanakuwa wagumu kutangaza wabunge wenye tofauti ya zaidi ya kura 500
 
CCM:SHEIN >179809 =50.1%
CUF:SEIF >176338 =49.1%
407658 NDO WALIJIANDIKISHA NA 89%yake NDO WALIPIGA KURA
Majimbo jumla 50 Unguja na Pemba na wagombea wa uraisi walikuwa Saba

Yametangazwa Mbele ya SheiN na Seif kwa kutumia sheria ya 1984 ya uchaguzi
UNDP wameshukuruliwa kwa mchango wao pamoja na JWTZ NA POLICE kwa ulinzi

Source:Tume ya uchaguzi Zanzibar via TBC

kaka naogopa,uko too updated si kawaida. Thanks bro!
 
Mhhhhhh. Hapa mi naona Seif kala deal tu yaishe awe waziri kiongozi. Kwa tofauti ya kura 3500 hisingekuwa rahisi kukubali matokeo so simple. Hapa deal imefanyika.
Mbona wanakuwa wagumu kutangaza wabunge wenye tofauti ya zaidi ya kura 500

Si wote wapemba hao jamani
 
Sharif hamad anaongeea sasa tbc na channel ten ameridhia matokeo kuwa shein ndie rais mpya wa zanzibar,jamaa kalegea anakubali kilaini kwa kuwa amejua kuna shavu this time
 
Lakini ki-aina analalamika kuwa kuna shahada zilizagaa mtaani, na kuna maofisa walijaribu kuaharibu shahada za kula. Duh mambo kama yanaanza kugeuka hivi!!
 
CUF hawamjui Seif,yeye ana tamaa tu ya uongozi.Alitaka kuingia serikalini apate UMAKAMU WA RAIS.Yeye atapata mshahara na marupurupu kibao huku wanachama wa CUF wakiishi maisha magumu
 
Yaani nina uhakika huyu jamaa anatajirika na ccm, siyo siri. Mi simwamini huyu mtuuuu. Hebu ona anavyompamba Dr. Shein!!
 
Hapa sisiem wallichanga karata zao poa
maana walipendekeza jina la shein kwa sababu walishasoma alama za nyakati
Sharrif Hamadi kakubali kiungwana kabisa
Thats nice ass!!!!!!
 
Back
Top Bottom