Inakuwaje Seif anakubali kirahisi hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Deal imefanyika jamani.
Na seif iwe ndo mwisho asirudi tena 2015 wampe mwingine ajaribu
Niliyasema haya kuwa matokeo ya mseto wao. Seif Sharrif never left CCM kwa hiyo kawaingiza mkenge Wazanzibar na huo mseto kwa faida ya viongozi ambao lengo lao kubwa ilikuwa kugawana madaraka na kuendesha nchi...
Kama CUF wangeungana na Chadema, huko Zanzibar kulikuwa na kila nafasi ya CUF kuchukua madaraka na kuundwa kwa serikali tatu lakini sasa ndo wasahau...
Mbona ni wazi ??.... Maalim ameshinda, isipokuwa "wamekubaliana" akubali kushindwa ... life goes on . Alichopewa wewe na mimi hatutakifahamu milele!!
Sharif hamad anaongeea sasa tbc na channel ten ameridhia matokeo kuwa shein ndie rais mpya wa zanzibar,jamaa kalegea anakubali kilaini kwa kuwa amejua kuna shavu this time[/jamaa mabo ya kuwa rais asahau tena ila nampongeza kwa kukubalu matokeo
Yaelekea mngelipenda sana kuona Zanzibar inawaka moto kama mlivyozoea!!!!! Viva Karume, Viva Seif, Viva Shein, Viva Zanzibar......waonyehesheni hawa dugu ni maana ya Ustaarabu wa Wazanzibari......After more than 50 years za kuwadharau na kuwazodoa....