FULLUMBU
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 178
- 61
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?
Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money
Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza
Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati
Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka
Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia
Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu
hatuongelei money tunazungumzia ma mc mbobana sugu hajaishia kuvuta bangi