FULLUMBU
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 178
- 61
Wakuu kuweka sawa mjadala huu kuhusu nani ni Real Emcee hapa bongo nadhani tumeshuhudia wenzetu wakitaja hapa rappers kwamba nao ni Emcee'z. Binafsi napenda kuchukua definition aliyotoa KRS-One kuhusu utofauti kati ya Emcee na Rapper aliyoitoa kwenye verse ya nyimbo ya CLASSIC ya KANYE WEST akiwashirikisha KRS-One, Nas na Rakim. Alisema kama ifuatavyo:
-"This is
the difference between
MCing and rap
Rappers spit rhymes
that are mostly illegal,
MCs spit rhymes to
uplift their people
Peace, love, unity, and
Havin fun"-
Sasa kila mtu achukue msanii wake then amlinganishe na maneno ya KRS-One hapo hatuja chukua vigezo vingine.
mkuu ni kazi sana kustick kwenye hiyo hata those who we call real mcs da hawawez labda kwenye albam 1 ya survival skills mkuru kajaribu