Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

freemason imeanza babeli hiyo ni moja,pili hiyo alama inamaanisha mungu wa afya tafiti medical institutions zote zinahiyo alama,
1.WHO
2.ROYAL INSITUTE OF PUBLIC HEALTH
3.MEDICAL ADVISORY BOARD
4.EMERGENY MEDICAL TECHNICIAN
N.K

inaitwa caduceus

biblia tofauti na KJV ni za kuchoma moto

Ndo maana nakuambia umevurugwa ile mbaya.......Mambo ya kuchoma Biblia ya kazi gani..?

Hiyo KJV wala hata sijui na wala sitaki kuijua...Hiyo KJV inahusiano gani na mada hii..#
 
ingekuwa ipo kwenye elfu kumi?

alama ya utabibu ndo nini?unajua historia ya hiyo alama?unajua kwanini watu walibidi walale kule?

Freemason wanapenda kula nyama ya Faru...Ndo maana kwenye noti ya Elfu Tano faru yupo....

Unajua kwanini Faru yupo kwenyw Elfu tano na Si Elfu kumi...?

Unajua kwanini waliamua kumchagua Faru...? Unajua kwanini aliitwa Faru...?
 
hahahahahahaha aiseee
 
Mpwa kumbe unauliza swali ambalo tayari una majibu yake?

Hata hisabati unaweza hukawa hujui jibu lakini ukimuuliza mtu akashuka nondo na formula za kueleweka na jibu likapatikana lazima utasema hilo ndio jibu hivyo hata wewe ulivyojibu umemshawishi mpwa wako
 
Please go to the google.com and type this sentence "what is the meaning of the caduceus symbol" then read the words of non Muslims what they say about that symbol.

Mahmood, google and the website unayonipa siyo reliable and valid source! umesomea wapi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Upo uhusiano wa kiimani kati nyoka na fumbo au mti.nyoka alimtokea hawa bustanini na nyoka alikuwa amejiviringisha kwenye mti.Mussa alipiga fimbo yake chini ikawa nyoka mbele ya farao.kwa ufafanuzi zaidi baadae now ngaja tupige kazi
 
nyoka kama nyoka ni mnyama innocent kabisa na aliumbwa kwa madhumuni mazuri na Mungu kama walivyoumbwa wanyama wengine kama Binadamu, Nguruwe, Mbwa,Mijusi n.k waliosoma ECOLOGY watakubaliana na mimi kuwa kila kiumbe kina umuhimu wake katika ecosysterm.Sasa basi Lugha iliyotumika kwenye scriptures siyo lugha ambayo unaweza kui construe litearaly.inahitaji utaalamu hasa vitabu vya kinabii.ni zaidi ya statute (sheria) ambazo kuna ufundi fulani wa kuzisoma ambazo zinahitaji mtu aliyebobea kwenye fani ya sheria (statute reading) ambapo hata kama maneno yaliyotumika yanaonekana ni ya kawaida kabisha kisheria yatakuwa na maana nyingine.kwa maana hiyo hakuna jinsi ambavyo sheria au katiba itaandikwa kirahisi ili kila mtu aielewe kwani hata mwana jurisprudensia maarufu J.BENTHAM theory zake ziliprove failure kwa hilo.Mwisho nyoka kufananishwa na shetani katika vitabu haimaanishi kwamba ni shetani kweli au ana ufanano wowote wa kimopholojia na shetani au Mungu anamchukia nyoka hasha.Mungu alitumia lugha ya picha katika kupeleka ujumbe na alitumia kutokana na wakati.Ukumbuke kuwa Mtume petro aliyemkanana Yesu mara tatu alikemewa na Yesu lakina baadaye ndio huyohuyo ailyekabithiwa kanisa na Kristo.
o-SNAKES-facebook.jpg
 
Nitaeleza kwa ufupi historia ya nyoka kama ishara ya utabibu.
Historia hii inaanza katika utawala wa Babeli ambapo miungu ilikuwa inaabudiwa sana. Na katika utawala huo tarakimu 6 ilikuwa inaheshimika sana kwani ilikuwa ni ishara ya utii kwa miungu yao. Angalia hata kitabu cha danieli sura ya tatu, sanamu wa dhahabu aliyetengenezwa ilikuwa na urefu wa dhiraa sitini na upana dhiraa sita. Vipimo vyote vikiwa na namba 6 ndani yake. Pia ili mtu aweze kupiga magoti kuabudu hiyo sanamu ilitakiwa lazima mtu awe amesikia sauti ya vifaa sita ambavyo ni panda, vinubi, filimbi, zeze, santuri na zomari. Sasa baada ya utawala wa Babeli kuondolewa na wamedi na waajemi, makuhani wengi wa miungu ya wababeli walikimbilia katika mji wa PERGAMO ambako waliendeleza huduma zao na ndipo lilijengwa hekalu kubwa sana la kuabudu miungu ya Babeli na katika chumba kimojawapo ndani ya lile hekalu kulitumika kutoa huduma ya utabibu na kwa kuwa shetani siku zote hufanya kitu kinachokaribiana na kile Mungu alichoamuru mf leo hii ubatizo, siku tofauti za ibada dhidi ya ile aliyoamuru Mungu na hii yote ikiwa ni kuwapumbaza watu, makuhani walichukua mfano wa nyoka yule wa jangwani aliyetengenezwa na Musa na ndo maana mpaka leo hii nyoka anatumika kama ishara ya uuguzi lakini si kutokana na nyoka wa Musa bali wa kule katika hekalu la PERGAMO. Na hata ukisoma mambo yanayoelekezwa kwa makanisa katika kitabu cha ufunuo sura ya pili. Ujumbe kwa malaika wa kanisa la kule PERGAMO kuna msitari unasema "napajua ukaapo ndipo penye makazi ya shetani".
Napenda Sana vichwa kama hivi. Mtu anaongeaa kwa facts sio blah blah tu.

Hebu elezea 'picha imelazimishwa kuwekwa kwenye note'

Halafu, hebu mniletee mimi hizo note zote za mia tano, nina shida nazo.
 
Nitaeleza kwa ufupi historia ya nyoka kama ishara ya utabibu.
Historia hii inaanza katika utawala wa Babeli ambapo miungu ilikuwa inaabudiwa sana. Na katika utawala huo tarakimu 6 ilikuwa inaheshimika sana kwani ilikuwa ni ishara ya utii kwa miungu yao. Angalia hata kitabu cha danieli sura ya tatu, sanamu wa dhahabu aliyetengenezwa ilikuwa na urefu wa dhiraa sitini na upana dhiraa sita. Vipimo vyote vikiwa na namba 6 ndani yake. Pia ili mtu aweze kupiga magoti kuabudu hiyo sanamu ilitakiwa lazima mtu awe amesikia sauti ya vifaa sita ambavyo ni panda, vinubi, filimbi, zeze, santuri na zomari. Sasa baada ya utawala wa Babeli kuondolewa na wamedi na waajemi, makuhani wengi wa miungu ya wababeli walikimbilia katika mji wa PERGAMO ambako waliendeleza huduma zao na ndipo lilijengwa hekalu kubwa sana la kuabudu miungu ya Babeli na katika chumba kimojawapo ndani ya lile hekalu kulitumika kutoa huduma ya utabibu na kwa kuwa shetani siku zote hufanya kitu kinachokaribiana na kile Mungu alichoamuru mf leo hii ubatizo, siku tofauti za ibada dhidi ya ile aliyoamuru Mungu na hii yote ikiwa ni kuwapumbaza watu, makuhani walichukua mfano wa nyoka yule wa jangwani aliyetengenezwa na Musa na ndo maana mpaka leo hii nyoka anatumika kama ishara ya uuguzi lakini si kutokana na nyoka wa Musa bali wa kule katika hekalu la PERGAMO. Na hata ukisoma mambo yanayoelekezwa kwa makanisa katika kitabu cha ufunuo sura ya pili. Ujumbe kwa malaika wa kanisa la kule PERGAMO kuna msitari unasema "napajua ukaapo ndipo penye makazi ya shetani".
Angalau wewe umechimba hii ishu vizuri
 
Napajua ukaapo; ndipo penye kiti cha enzi cha shetani( shetani huwa anaweka kiti chake hata kanisani atashindwaje kwenye pesa. Asante mchangiaji umenikumbusha somo la viti vya enzi
 
Hiyo ni alama ya utabibu, kuonesha nchi yetu pia inasonga mbele kwenye utafiti na utabibu kuboresha afya. Unakumbuka wana wa Israel pia walipona kwa kuangalia nyoka ya shaba iliyoangikwa msalabani? I guess that is the original idea. Angalia hata muhimbili chuo kikuu, logo yake ina hiyo alama. Shetani hakimbiwi kwa miguu, jipange kiroho ndugu!

Uko sahihi mama angu! Hivi unatumia kinywaji gani wkend hii
 
Jua haya yafuatayo
IMF ni shirika la fedha duniani lakin ni brand ya freemason ukigeuza hilo neno imf utapata ni FMI Freemasons International
Hivyo Vivyo hata fedha yetu ndio maana wakaweka alama ya nyoka kwenye hela yetu wamefika mbali zaidi wakatuambia tuweke picha ya nyerere kuonesha kuwa hela yetu ni feki au lah
Judge kwa nn wasiweke ya aman abeid karume wa zanzibar
Kwa nn wasingeiacha ile ile twiga
Hizo zote ni plans za mason kaka kwa hiyo hiyo ni kawaida
 
Back
Top Bottom