Kuchana noti ya elfU kumi kuna dhana gani kiimani?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Kwa hapa dodoma nimeona wimbi kubwa za noti hususan za shilingi elf 10 zikichanwa kweny Kona ,Mara nyingi hunjofolewa kipande kidgo na baada ya kuuliza nikaambiwa kuwa Ni kuzuia chuma ulete na kutopoteA kwa pesa kirahisi je ukweli upo hapo?

Je hili limekaje wakuu kwa maana sas hv noti nyingi zimechanwa leo asbh nimemkatalia mtu kupokea fedha zake baada ya kuniletea pesa zilizo chanwachanwa kweny Kona zake nilimkatalia nikamuambia akaingize kwa wakala wa mpesa hzo pesa kwa maana kiwango Cha uchwanwaji wake Ni mkubwa inatisha.

Vipi kuna ukweli kuwa kuchana noti Ni kuzuia chuma uleta ama ni dhanaa tu?

Mkuu wetu bwna Mshana Jr anaweza kutupa abcd juu ya swla la noti kuchanwa Ina maana gani

NOTE
Naitaka BOT kukemea swala hili haraka sna kwa sababu siyo afya na wananchi hawana uelewa wa kutunza noti.

Unakutawew unanunua shamba milion 7 anataka pesaa Kash alfu unamapa hapo Hapo anaanza kuhesabu upya huku akizichana na kungoa vipande kwa kila noti Kisha kurudisha tena kwemy mzunguko nin maana yake kwa hili.

Je Kuna mwana jf anafanya hivhivi

IMG_20231218_155729_9.jpg

Ok
 
Kuzuia chuma ulete na lisemwalo lipo kama halipo laja, we bado inaonesha hujaanza haso za kufanyia biashara uswahilini utaelewa tu.
 
Kuzuia chuma ulete na lisemwalo lipo kama halipo laja, we bado inaonesha hujaanza haso za kufanyia biashara uswahilini utaelewa tu.
Mkuu naomba unisanue mkuu mnk Niko uswahilin huku dodoma ndani ndani

Au na mm nianze kuIchana pindi ninavyo pokea na kutoaa nn

Na je kila mtu akichna si Ni hatari noti inaweza kukoza dhamani
 
Kwa hapa dodoma nimeona wimbi kubwa za noti hususan za shilingi elf 10 zikichanwa kweny Kona ,Mara nyingi hunjofolewa kipande kidgo na baada ya kuuliza nikaambiwa kuwa Ni kuzuia chuma ulete na kutopoteA kwa pesa kirahisi je ukweli upo hapo...
Aisee. Nchi imejaa wajinga namna hii? Yaani mtu anaamini fedha zake zinaweza kuchukuliwa kimiujiza? Bado tuko nyuma sana.
 
Siyo lazima kuichana noti, unaweza kupinda pindo dogo ktk mojawapo ya pembe, pia siyo lazima kupinda noti zote, unapinda moja tu kwa kila bulungutu inatosha.
 
Kwa hapa dodoma nimeona wimbi kubwa za noti hususan za shilingi elf 10 zikichanwa kweny Kona ,Mara nyingi hunjofolewa kipande kidgo na baada ya kuuliza nikaambiwa kuwa Ni kuzuia chuma ulete na kutopoteA kwa pesa kirahisi je ukweli upo hapo...
Ni imani za kijinga za chumaulete kaka.. Keene ushirikina wachawi na walozi hawatumii kitu chenye kasoro ama kisichotimia .. Hivyo watu huichana kiduchu kwenye pembe pesa yoyote ya noti kutokana na hiyo imani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom