Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,909
- 2,477
mnadanganyana kweli misikitini
Please go to the google.com and type this sentence "what is the meaning of the caduceus symbol" then read the words of non Muslims what they say about that symbol.
mnadanganyana kweli misikitini
Yule sio nyoka ni aina ya mnyoo na hutumika kama symbol ya utabibu
Sio muhimbili tu, angalia hapaaaaa
Caduceus as a symbol of medicine
From Wikipedia, the free encyclopedia
This article is about the Greek symbol. For the medical symbol often mistakenly referred to as a caduceus, see Rod of Asclepius.
This article is about the erroneous use of the Caduceus in medical settings. For all other uses, see Caduceus.
The U.S. Army Medical Corps Branch Plaque. The 1902 adoption of the caduceus for U.S. Army medical officer uniforms popularized the erroneous use of the symbol throughout the medical field in the United States.
The caduceus is the traditional symbol of Hermes and features two snakes winding around an often winged staff. It is often mistakenly used as a symbol of medicine instead of the Rod of Asclepius, especially in the United States. The two-snake caduceus design has ancient and consistent associations with trade, eloquence, trickery, and negotiation. Tangential association of the caduceus with medicine has occurred through the ages, where it was sometimes associated with alchemy and wisdom.
The modern use of the caduceus as a symbol of medicine became established in the United States in the late 19th and early 20th century as a result of documented mistakes, misunderstandings and confusion.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP][SUP]note a[›][/SUP]
kwa hiyo hata yule nyoka wa Musa ni wa freemason? unajua watu mmekuwa wahubiri wa mambo bila kujua historia ya yale mnayoyahubiri. mmekuwa kama wachungaji wa mitaani wanaowahubiria wasiojitambua kisa tuu hawawezi kudadisi ukweli wa mambo.
Historia inaonyesha ile alama ipo miaka mingi kabla ya Kristo lakini freemason imeanzishwa kwenye karne ya 13 baada ya Kristo. sasa sijui huo uhusiano unakujaje hapo.
Unapohusisha kila alama ya nyoka na ushetani inaonesha huna imani kwani hata Mungu kuna wakati alitumia nyoka kuonesha ishara ya ukuu wake. mfano; nyoka wa Musa alietokea baada ya kutupa fimbo chini ambayo yalikuwa ni maajabu ya Mungu
kuna mtu kaniambia kule misri zamani, musa aliambiwa na mungu aweke nyoka kwenye mti na auchomeke chini, wale wayahudi waliokuwa wanaumwa na nyoka wakitazama huo mti hawatakufa lkn ambao hawatautazama watakufa
kwani pale jangwani wayahudi walitundikiwa nini watizame ili wasife baada ya kung'atwa na nyoka?.
Conect doti.
Aliyewatoa akili zenu kesha kufa..n
kadoda11 usichanganye madawa ukaja kiharisha brbrni bure!mbona alama ya msalaba kwenye baadhi ya taasisi za zinazo husika na maswala ya afya ya binadamu na maduka ya dawa hamsemi?.mfumo kristu kitu mbaya sana.lol
CC kahtaan
Naona kila mtu kwa mbwembwe zake anajifaragua na kujitutumua hapa na pale kuonyesha jinsi alivyo mjuvi/mjuba wa mambo.Waungwana tusiropoke tu pasipo kufanya utafiti.Hebu basi na tuwe na fikra za kiuchunguzi na udadisi tusikubali tu kuona na kuzoea mambo pasipo kujiuliza kwanini.....na katika kujiuliza huko(fanya tafiti binafsi) kisha jaribu sasa kulinganisha na uhalisia wake.
Na katika sasa kujadiliana tujaribu kuacha kashfa na dharau za wazi na dhairi dhidi ya mwingine....UPUMBAVU WAKO NDIO HEKIMA KWA MWINGINE NA KINYUME CHAKE NDIO UKWELI PIA USIO PINGIKA!.Na tujuzane basi kwa hekima na busaraa!
mbona alama ya msalaba kwenye baadhi ya taasisi za zinazo husika na maswala ya afya ya binadamu na maduka ya dawa hamsemi?.mfumo kristu kitu mbaya sana.lol
CC kahtaan
Mkuu ulitaka tuimbe kwaya ndio uridhike au?
Kuna maelezo gani ulipenda watu watoe.
Manake unasema KILA MTU ANAJIFARAGUA!
we ulitaka watu wajifanye nini sasa.
Funguka kidogo.
Au be specific ni nani anaejifaragua hapa!
Namna gani kijana! Alaaa.
Natumai umeshawahi kuona mijadala na majadiliano kadha wa kadha..hasa nikilenga ile ya kisomi(maana hekima na busara hutumika)..hii ikiwa kila mtu kwa ustaarabu,upole na data za kutosha kuwasilisha facts pasipo kutumia maneno ya kebehi na dharau,kinyume na iliyo dhairi kwa kile hasa kinacho fanyika ktk topic hii.
Sikatai ya kuwa wamo watu hapa wanawasilisha facts vizuri tena kwa ustaarabu kabisa(hata kama ina mapungufu),lakini tatizo linakuja sasa kwa wengi wajuvi/wajuba wenye jazba kukurupuka kwa kebehi na dharau dhidi ya comments za wenzao(HUKU SASA NDO NAKUITA KUJIFARAGUA NA KUJITUTUMUA KWA WENGI)....ili hali wachache wana kuwa wapole ktk kuwasilisha kile walicho kitafiti na kukigundua.
Tupangue uwongo na facts potoshi kwa ustaarabu na hekima!
kadoda11 usichanganye madawa ukaja kiharisha brbrni bure!
Hizo alama unazoziona kwenye Taasisi za Afya SIO MISALABA bali ni alama iliobuniwa On 17 February 1863, na dhumuni lilikuwa ni-respect for army medical services, volunteers with first aid societies and the victims of armed conflicts.
Alama ya KUJUMLISHA (+) Pamoja na Alama ya Mwezi zote hizi zilibuniwa wakati mmoja.
Huo MSALABA walibuni watu WA PAULO na hakuna mwanafunzi yyt ktk wale wanafunzi WA KWELI 12 WA YESU ALIYEWAHI KUVAA AU KUWA NA MSALABA.
Huo Msalaba ni UZUSHI TU WA Mnafiki PAULO.
We babako auwawe na bastola halafu eti wewe uvae ka bastola kadogo shingoni kujikumbusha kifo chake kweli hio inaingia AKILINI?
Hayo mapenzi? Au Chuki?