Mswahili,
Kwanza inabidi uelewe nini nimeandika kabla hujarukia vitu... Nimesema walidai kuwa Malima kuhamia CUF.. jambo ambalo ni UONGO... sikusema Malima alihamia CUF.
Pili, zogo la sheikh Kassim bin Jumaa lilianza lini?
Labda hunifahamu na bora uulize watu wakufahamishe mimi nani..
Itakuwaje Sheikh Kassim awe na matatizo na Nyerere hali Sheikh Kassim alikuwa mganga wake!...na mwanae leo hii ndio mganga wa JK au unataka niseme mengine ambayo hayahusiani?.
Kesi ya Kassim imeanza mwisho wa mwaka 1992 na hakuchukua miezi sita. Mwanaye swahiba wangu mkubwa.....ULIZA. Sina mapenzi na huyo Mwinyi kwa sababu story nzima naifahamu na hapa sii pahala pake. Wewe unafanya kusoma ktk magazeti yenu ya ushabiki ambayo waandishi wake ni wadini, na hivyo kukufanya wewe uwe matunda yao.