johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,000
- 142,027
Ikumbukwe kuwa Mzee Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA ndiye aliyemshauri Mwalimu Nyerere akubaliane na Sera za IMF na WB kwa sababu hapakuwa na namna nyingine.
Mbele ya camera Nyerere alikataa na Mzee Mtei akatangaza kujiuzulu, lakini kwa Maelezo ya jana ya Mh. Rais Dr. Samia kwamba Mwalimu Nyerere aling'atuka ili kuruhusu Mageuzi ya Kiuchumi na kisiasa nashawishika kuamini ule Ushauri wa Mzee Mtei ulifanyiwa kazi.
Labda ndio sababu baadae Nyerere alisema vyama vya Upinzani vitakufa vyote Lakini Chadema itadumu. 😄😄🔥
Nawatakia Dominica Njema