Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,012
20,685
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?

Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?

Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?

Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?
 
Wanyama watahamia sehemu nyingine...

Yaani nchi ikose umeme kwa sababu ya kuwajali wanyama ambao wanaweza sogea mapori mengine...eboh!

Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?

Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?

Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?

Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?
 
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?

Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Wanyama ni sensitive kuliko unavyodhani, wao hutambua hatari in advance na hukimbilia miinukoni mapema
 
Mtihani Sana.
Ni matatizo ya akili zetu kwani hata kufanya utafiti kwa majirani hatutaki
Angalia Burkina Faso walijenga Dam na likawa kama letu tena wao mpaka likaweka na nyufa
Maji yalizidi na kuleta mafuriko mpaka nchi jirani ya Ghana
Angalia msala huu
Screenshot_20240411_082754_Chrome~2.png
 
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?

Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?

Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?

Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?
Mkuu pole sana na kule kwenu Arusha kuna bwawa gani limejengwa? Machozi ya wana Arusha nani atayafuta?😂😂😂😂😂😂

Bwawa ni muhimu kuzidi kitu chochote hivyo wanyama na watu wameyafata maji …kwa hiyo kama mnawapenda sana hao wanyama mkaogelee nao hapo kwenye mafuriko 😂😂😂😂😂
 
Unalipwa kiasi gani kuandika huu utoto kila siku...

Kiwango unacholipwa kinazidi utu wako? au bora uingize siku!

Kimsingi hili bwawa lilipingwa tangu Nyerere, na waliopinga wengi walikua wabongo...

Tukifananisha athari za bwawa hilo na faida zake, faida zipo nyingi endapo viongozi wako serious kuliko athari...

Mabwawa yanaleta athari Moscow sembuse kwetu?

Kumanina wallah.
 
Hifadhi zote Zina mali thus mwarabu anataka azisimamie hawajilip kwa wanyama bali madini,Mali kale nk
 
Unalipwa kiasi gani kuandika huu utoto kila siku...

Kiwango unacholipwa kinazidi utu wako? au bora uingize siku!

Kimsingi hili bwawa lilipingwa tangu Nyerere, na waliopinga wengi walikua wabongo...

Tukifananisha athari za bwawa hilo na faida zake, faida zipo nyingi endapo viongozi wako serious kuliko athari...

Mabwawa yanaleta athari Moscow sembuse kwetu?

Kumanina wallah.
Mods, gonga ban hii mutu
 
Back
Top Bottom