Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,265
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA

Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.

Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha yangu yoyote.

Vipi nitaonyeshwa sanamu yake inishinde.

Mwalimu Nyerere ni mtu maarufu ulimwenguni na watu wengi wanamjua kutokana na picha zake.

Hawa huwezi kuwawekea sanamu isiyo yeye wakashindwa kutambua kuwa siye.

Sanamu ya Mwalimu AU, Addis Ababa inaudhi.

Angalia sanamu hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere iliyoko Dodoma.

1708870444395.png

1708870529021.png
 
Madaraka anasema aulizwe yeye... anasema ameshirikishwa na sanamuu ipo sawa sawa kwa mujibu wake
 
hizi ni kazi za watu nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni nilitembelea karakana ya kuchonga vinyago vya kuuzwa curial kwa watalii nilikutana na jamaa anamchonga kichwa cha nyerere aisee hajaafanya finishing unasema huyu ni nyerere...alikuwa anatumia mbao...kwa hio pasipo upigaji sanamu bora ingeweza kupatikana pasipo na shaka hata ile ya nyerere square dodoma ipo poa sana...
 
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA

Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.

Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha yangu yoyote.

Vipi nitaonyeshwa sanamu yake inishinde.

Mwalimu Nyerere ni mtu maarufu ulimwenguni na watu wengi wanamjua kutokana na picha zake.

Hawa huwezi kuwawekea sanamu isiyo yeye wakashindwa kutambua kuwa siye.

Sanamu ya Mwalimu AU, Addis Ababa inaudhi.

Angalia sanamu hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere iliyoko Dodoma.

Hiyo ndo sanamu inayoshabihiana na muonekano halisi wa J.K.Nyerere, ile ya Ethiopia hata kipofu ataikataa.
 
Hana lolote la maana la kusemwa mshenzi yule, alitutia umasikini wa kutupwa,
Matatizo ya hii nchi leo ni muendelezo wa siasa zake, na hio katiba aliyoiweka ya ccm
Una changamoto ya akili na hali ngumu ya maisha, huwezi kumchukia mtu ambaye ana zaidi ya miaka 20 tangu afariki. Nyie mliobaki hai si mfanye mabadiliko mnayotaka? Miaka 23+ mmeshindwa kufanya chochote na bado mnamlaumu mtu aliyeachia madaraka miaka ya 80ş!
 
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA

Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.

Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha yangu yoyote.

Vipi nitaonyeshwa sanamu yake inishinde.

Mwalimu Nyerere ni mtu maarufu ulimwenguni na watu wengi wanamjua kutokana na picha zake.

Hawa huwezi kuwawekea sanamu isiyo yeye wakashindwa kutambua kuwa siye.

Sanamu ya Mwalimu AU, Addis Ababa inaudhi.

Angalia sanamu hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere iliyoko Dodoma.

Ya juu ndio sanamu halisi ya Hayati Baba wa taifa Mw. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ni Shehe Mohamedi Said mtetezi wa Waislam.
 
Back
Top Bottom