Huna hoja we jamaa umekariri maneno hayohayo tuBavicha hawawezi kuacha kumtukana Nyarandu!
Kama Mdee anatukanwa leo kwa kuitwa mzee Nyarandu ni nani?
Kama Dr Slaa leo anatukanwa pamoja na kuumia na kutokwa damu kwa ajili ya chadema Nyarandu ni nani?
Kamwe Bavicha hawawwzi kuacha tabia yao ya kutukana watu wanaotofautiana nao.
Hata Lisu leo akitoka chadema atatukanwa sana!