Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,522
2,112
Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA.

Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madaraka

Amedai jambo hilo linawafanya CCM wakose wapinzani sahihi
 
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka

Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
mwenezi ameongea jambo la maana sana kwa mustakabali mpana wa ustawi, amani na afya ya demokrasia nchini 🐒
 
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka

Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
CHADEMA nayo imesikitika sana na Mishahara na Posho mnazowapa Covid 19 wakati sio Wabunge kwani walikwishafukuzwa uanachama
 
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka

Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
Ndiyo maana tunaamua ku print fomu moja tu 😂😂 ya mgombea.
 
Nyie mataga mnamwaga Hela kwenye chaguz zenu ngazi ya matawi,,,
Halafu mnajifanya wemaaaaaaaaaaaaa
kwahiyo umekaa mahali unafutahi makamu mwenyekiti anavyo fyumu, anavyolialia na kubwekabweka hovyo ee🤣

au wewe ni miongoni mwa wanao mwaga pesa kumnyongonyeza mgombea ambae anapigiwa chapuo na makamu mwenyekiti 🐒
 
aliye kunya anamcheka aliyejamba

Back
Top Bottom