Wandugu, nimefikiria sana kuhusu hizi rangi toka kwenye noti mpya, nina uhakika zitakua zinabaki kwenye mikono kila ushikapo noti, inakuaje utakapo weka kidole chenye rangi jichoni au watoto watakaposhika noti na kula chakula bila kunawa mikono. Sio janga lingine hilo?