Noti mpya hazina ubora?

Wandugu, nimefikiria sana kuhusu hizi rangi toka kwenye noti mpya, nina uhakika zitakua zinabaki kwenye mikono kila ushikapo noti, inakuaje utakapo weka kidole chenye rangi jichoni au watoto watakaposhika noti na kula chakula bila kunawa mikono. Sio janga lingine hilo?
 
Japo mimi sio mtu wa BOT, ila msiwe na wasiwasi, zililetwa rangi kiwa bado mbichi, inakauka taratibu kila zinavyokaa kwenye mzunguko mpaka vitafikia hazichuji tena.

Karatasi sio ya magome ya miti, ni karatasi ya pamba laini, ikilowa haichaniki kama kitambaa!.

Na hiyo rangi inayochuja, acha tuu ichuje, lakini noti inabaki ikingaa vile vile kama radioctive material!.

Naombeni tusiwe wepesi kulalamika kila kitu, japo naunga mkono kulalamikia genuine issue kama hii, ila pia tuwe tayari kupongeza kwenye jambo zuri, hivyo tuwapongeze BOT kwa Noti Mpya za size ndogo na hazichakachuliki.

Pasco acha upotoshaji!!! hivi rangi inakuwaje mbichi kwenye karatasi kavu? Noti ikichujaa itabakiaje inang'aa? kuhusu kuchakachulika tayari police wamepokea taarifa za noti fake mpya za elfu 10.
 
Rangi zote zaweza kuwa na madhara kama zinatumika pasipo takiwa! Cha msingi ni kuchukua tahadhari na uzembe huu uliofanywa na viongozi wetu! Yan hata kwa macho tu zinaonekana zinachuja! kwanini huyu Mkulo na wenzake wasiwajibike! JK wawajibishe hawa watu, usisubiri maandano ili muue watu tena ! au wewe unaridhika na haya mambo ya hovyo!

Sijui JK ni mwana JF!! basi kama yupo msaidizi wake/au makachero mfikishieni ujumbe huu.
 
rangi zote zaweza kuwa na madhara kama zinatumika pasipo takiwa! Cha msingi ni kuchukua tahadhari na uzembe huu uliofanywa na viongozi wetu! Yan hata kwa macho tu zinaonekana zinachuja! Kwanini huyu mkulo na wenzake wasiwajibike! Jk wawajibishe hawa watu, usisubiri maandano ili muue watu tena ! Au wewe unaridhika na haya mambo ya hovyo! Cjui jk ni mwana jf!! Basi kama yupo msaidizi wake/au makachero mfikishieni ujumbe huu.

ingekuwa vizuri sana kama uwajibikaji ungeanza na yy. This is too much.
 
Hii ngoma ni filmee tupu! watu walisema tokea mwanzo, lakini kama kawaida, wadanganyika wakakaaa kimya!
 
!

Sijui JK ni mwana JF!! basi kama yupo msaidizi wake/au makachero mfikishieni ujumbe huu.

JK si mwana JF na huwa hapiti kabisa hapa! Hii ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe alipokuwa akijibu swali langu!!
 
Wakuu kaeni mkao wa kula, hili janga jipya ni tamu kuliko la Dowans, wenye tenda washalipwa siku nyingiiii ...
 
Hizo noti wanaandaa dili lingine la uchakachuaji!!! Kwanza too many colors mpaka zinaboa!!! Hawaoni hela za wenzetu kama US dolllar? iko simple haizidi rangi mbili then ni durable!! Inaudhi hawa wanaojidai wataalam wa kudesign sijui tunawatoa wapi?. Hii nchi inachezewa sana mtatua kwa presha!!
 
Mkuu Nguli Jabali,

Hatukushambulia juu ya ubora wa rangi za noti, tulijadili suala la ATMs; kwanini noti mpya zisipite kwenye macshine hizo mpaka zifanyiwe marekebisho na tukabaini kuwa kuna kamchezo pale maana kama zimechapwa na watu makini na wanasema ziko katika size ya US dollars kwanini basi zikatae kupita kwenye ATMs....

ATM ina AIRCONDITIONER....zitayayuka kwa ubaridi
 
Hizo noti wanaandaa dili lingine la uchakachuaji!!! Kwanza too many colors mpaka zinaboa!!! Hawaoni hela za wenzetu kama US dolllar? iko simple haizidi rangi mbili then ni durable!! Inaudhi hawa wanaojidai wataalam wa kudesign sijui tunawatoa wapi?. Hii nchi inachezewa sana mtatua kwa presha!!

Ndio Tanzania yetu......
 
Watu bado mko voda?

mei+mosi.2.jpg
 
If that proved right, gavana wa benk kuu na waziri wa fedha watuachie ofisi zetu za umma na hatua madhubuti zichukuliwe haraka kabla hatujaingia barabarani kuilazimisha serikali iondoke madarakani kwa kutumia nguvu ya umma coz tuko fed up tayari with lots of issues no seriousness
 
Nguli Jabali, hivi mtu ukitoa maoni yako ndio unageuka mpotoshaji?. Amini nakuambia rangi hiyo bado mbichi, itakauka na haita chuja!.

Mbono ubichi wa rangi kwenye karatasi kavu ni kawaida kama kwenye kanga mpya, ni kavu na rangi inatoka.

Kama utaziangalia kwa makini hizi noti mpya, utaona ziko slightly over colored, walizidisha rangi kwa makusudi wakijua zitapauka kidogo ndipo zifikie kiwango cha rangi kinachotakiwa kwenye noti, au na huu ni upotoshaji pia?.

Pasco samahani kwa kutumia neno "upotoshaji"

Unavyosema walitumia rangi nyingi ili zipauke baadae una uhakika nalo? kwa hio wewe unanunuaga nguo inayochuja ili ije ipauke itulie kwenye brightness uliokuwa unaihitaji? wewe uliisikia au kuijua wapi hio tekinolojia. Je zilizopita ailikuwa the same? ni nchi gani nyingine duniani imekuwa ikutumia hio style?

Katika HIO attachment iliyotolewa na BOT hakuna sehemu wanayosema fedha zitachuja ili zije zi maintain baadae. Hayo nimeyasikia kwa mara ya kwanza kwako.
 
Attachments

  • new currencies.pdf
    950.1 KB · Views: 82
Japo mimi sio mtu wa BOT, ila msiwe na wasiwasi, zililetwa rangi kiwa bado mbichi, inakauka taratibu kila zinavyokaa kwenye mzunguko mpaka vitafikia hazichuji tena.

Karatasi sio ya magome ya miti, ni karatasi ya pamba laini, ikilowa haichaniki kama kitambaa!.

Na hiyo rangi inayochuja, acha tuu ichuje, lakini noti inabaki ikingaa vile vile kama radioctive material!.

Naombeni tusiwe wepesi kulalamika kila kitu, japo naunga mkono kulalamikia genuine issue kama hii, ila pia tuwe tayari kupongeza kwenye jambo zuri, hivyo tuwapongeze BOT kwa Noti Mpya za size ndogo na hazichakachuliki.

Pasco,

Naomba uwatake radhi Wa-Tanzania;

Comments zako kwenye hiyo post ni completely mis-leading!

"..zililetwa rangi ikiwa bado mbichi..." That is very very very LOW!
 
Pasco,

Naomba uwatake radhi Wa-Tanzania;

Comments zako kwenye hiyo post ni completely mis-leading!

"..zililetwa rangi ikiwa bado mbichi..." That is very very very LOW!

Thanks for notting, Kuna maswali nimemuuliza nasubiri majibu yake ya kitaalamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom