Pasco samahani kwa kutumia neno "upotoshaji"
Unavyosema walitumia rangi nyingi ili zipauke baadae una uhakika nalo? kwa hio wewe unanunuaga nguo inayochuja ili ije ipauke itulie kwenye brightness uliokuwa unaihitaji? wewe uliisikia au kuijua wapi hio tekinolojia. Je zilizopita ailikuwa the same? ni nchi gani nyingine duniani imekuwa ikutumia hio style?
Katika HIO attachment iliyotolewa na BOT hakuna sehemu wanayosema fedha zitachuja ili zije zi maintain baadae. Hayo nimeyasikia kwa mara ya kwanza kwako.
Pasco,
Naomba uwatake radhi Wa-Tanzania;
Comments zako kwenye hiyo post ni completely mis-leading!
"..zililetwa rangi ikiwa bado mbichi..." That is very very very LOW!
Thanks for notting, Kuna maswali nimemuuliza nasubiri majibu yake ya kitaalamu.
Kwanza naomba ku withdraw statements zangu zote kuhusu hizi noti mpya.Well said Nguli,nimesoma comment ya Pasco nikabaki mdomo wazi! Hiyo assumption ndio kwanza nasikia kutoka kwake.
Kwanza naomba ku withdraw statements zangu zote kuhusu hizi noti mpya.tunasubiri jibu la hii:
pili, mkuu Pasco...wewe unasema hazichaniki au hazichaniki zikiwa wet? Maana kwa kuelewa post ya Nguli Jabali...yeye anadai zinachanika...
si ndo hapo...kwa hiyo tukinunua nguo zinazotoa rangi tujue ndo bora zaidi maana wameongeza rangi wakijua kuwa zitapauka...hahhahaha!
poor mans mentality...
Kwanza naomba ku withdraw statements zangu zote kuhusu hizi noti mpya.Pasco acha upotoshaji!!! hivi rangi inakuwaje mbichi kwenye karatasi kavu? Noti ikichujaa itabakiaje inang'aa? kuhusu kuchakachulika tayari police wamepokea taarifa za noti fake mpya za elfu 10.
Kwanza naomba ku withdraw statements zangu zote kuhusu hizi noti mpya.
Pili kudeclare my interest, mimi ni interested party kwenye hizi noti mpya japo my interest is undisclosed, hivyo naomba ku reserve any more comments on this.
Pia nachukua fursa hii, kuwaomba wote msamaha,
Samahani sana!.
NOTI MPYA ZA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
Noti mpya za serikali ya Jamhuri ya muungano Tanzania ambazo zimeanza kutumika rasmi mwezi januari mosi mwaka huu......
noti hizi kuenea kwake mitaani ni kwa kasi ndogo sana, kuna baadhi ya matawi ya benki hapa nchini zilikuwa zinatoa noti mpya kwenye ATM lakini sasa mimi benki zote ninazozitumia zinatoa noti za zamani. kwasasa hata mtaani noti zinazopatikana kwa urahisi ni zile za zamani lakini mpya utafikili wanataka kuzifuta. ndugu zetu mnaofanyia benki au wenyetaarifa kuhusu noti hizo anaweza kutujuza zaidi.
ukweli ni kwamba noti mpya ni chache mtaani kwa sababu zifuatazoNOTI MPYA ZA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA