Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

You do under rate thise people! What you think today they concidered it the day they were planing the issue!
Maybe!
But akili zao zina gamba, that's why the isssue backfired,
And they failed to control it again when they messed by sending Msangi again to see Ulimboka at MOI.
 
Katavi

angalia nimeshika kisu, kuna mtu kanambia dawa ni kuua wanaonisababishia jazba,
miongoni mwao ni hawa wafuatao,
1, Katavi (kidding)
2, wanaokalia viti (serious)
3, wanaolindwa na viti, (serious)
4, taasisi DHAIFU. (serious)

ha ha ha haaah!! Sometimes kisu kitajeruhi tu na hakiui...........
 
Sasa huyu mlinzi wa chui security atapona kweli kama hii story imevuja.......saga nyingine hii.......yule mlinzi aliyemtoa Ngereja nje ya kibanda cha ATM baada ya kupoteza muda kwa kuongea na simu wakati nje kunafoleni kubwa hivi leo kunatetesi aliachishwa kazi sasa huyu naye sijui........
 
You do under rate thise people! What you think today they concidered it the day they were planing the issue!
Hamna kitu, intellijensia ya kibongo sasa wanafanya kwa mazoea.
You cannot send five (5) people for a defenceless target.
A lame prey, 5 trained expert, professional killers! what a faulty plan.
Wamebaki kunywa bia na kujisifia kuwa ni wa usalama.
 
Sasa huyu mlinzi wa chui security atapona kweli kama hii story imevuja.......saga nyingine hii.......yule mlinzi aliyemtoa Ngereja nje ya kibanda cha ATM baada ya kupoteza muda kwa kuonga na simu wakati nje kunafoleni kubwa hivi leo kunatetesi aliachishwa kazi sasa huyu naye sijui........
Hawa wauaji hata hawafanyi assessment ya mtu kabla ya kumpa vital information.
Ndo mana nasema wanafanya kwa mazoea.
 
Huenda ni kweli jamani,maana nilichokisikia kutoka kwa Dr alie kwenye mgomo ni kuwa wale Viongozi wa Jumuiya ya Madaktari wanatafutwa sana kwa udi na uvumba,kiasi kwamba wana ishi kwa machale sana,jana walitengeneza njama nyingine wakitaka kumkamata Dr kiongozi wa mgomo kwa kumpigia simu na kumwambia kuwa anaitwa na Pinda,nae akahoji pinda yuko Dodoma vipi ananiita DAR.
sasa hata huu uzi alioleta jamaa mm nakubaliana nao,maana haitofautiani na habaru niliyoipata kutoka kwa Dr alie kwenye mgomo.mantiki ni kwamba uhalifu bado unaendelea kupangwa.
 
Hamna kitu, intellijensia ya kibongo sasa wanafanya kwa mazoea.
You cannot send five (5) people for a defenceless target.
A lame prey, 5 trained expert, professional killers! what a faulty plan.
Wamebaki kunywa bia na kujisifia kuwa ni wa usalama.

My brother, what went wrong there is not the plan, but the implementation! My be God wanted to show us the other side of the coin, how innocent people are being torchoured for their stand! God, Only God made it to back-fire! They have done alot and you know! I hate these people!
 
Wewe ndiye unayesikitisha na kuchekesha, JF always is the best than newspapers.

We do provide evidence if possible. na kila kinachosemwa hapa kina ukweli.

I like JF forever!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

mwambie huyo, watu tumesoma hotuba yake masaa kabla hata ya kuitoa. Na akaja akapaste kila kitu
 
Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.

Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.

Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.

Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.

Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.

Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.

Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.

My Take:
Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.
mmhh i dont think police wa Tanzania wanaweza kubuni mbinu dhaifu kama hii, mkuu naona umeichonga hii, ni vigumu mno kuiamini.
 
Hamna kitu, intellijensia ya kibongo sasa wanafanya kwa mazoea.
You cannot send five (5) people for a defenceless target.
A lame prey, 5 trained expert, professional killers! what a faulty plan.
Wamebaki kunywa bia na kujisifia kuwa ni wa usalama.
dhambi hiyo itaendelea kuwatafuta usiku hata mchana na hata jua la saa nane mchana hata kujitetea safari amewapa upofu uziwi kila moja aanafyatuka bila kujua anapingana na wengine. tunamshukuru Mungu aliyeleta simu za mkononi. maana bila ya hviyo hakuna ambaye angejua walikuwa wana mfuatilia kama amekufa au la. shetani kawaumbua eti BADO HAJAFA ANAHEMA . WATU WAKANASA LAIVU NO WAY NI KIPONDO CHA MAAWZO NA PSYCHOLOGICAL TOUCHER
 
Back
Top Bottom