Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

Dokta Hamis K nimemwona mtu anafanana nawe Cape Town jana, nalikuwa kwenye gari ndio maana sikuweza kuongea nawe. Hapan'shaka unafurahia kutembelea iKapa...!
 
mimi nina wasiwasi sana na dr ulimboka kwa sababu yeye is the main witness anajua exactly ni akina nani wamemtesa, hao watu watakua wanapanga mipango huyu jamaa asiishi coz hii kesi ikipelekwa mahakamani dr ulimboka itabidi asimame pale na aongee kila kitu na kuwataja kwa majina...this guy is marked for death.
Justice will prevail
 
kama hii habari ni kweli basi huyu mlinzi lazima apate msuko suko kama si kupotezwa kabisa!,

walishasema ''...kama mbaya ..mbaya!''
 
Hii new generation ya jamiiforums inasikitisha na kuchekesha sana. Yaani mtu anakuja na riwaya isiyo na support yoyote ya evidence halafu watu wanaanza kuijadili!!! Mpaka mbunge wa nzega naye kwa kuwa yuko popularity hungry anaona hii thread inaweza kujadiliwa!!!interesting...

Unarusha mapovu mzee, taratibu!
 
It is always dark before dawn.

mateso yakizidi sana, wokovu umekaribia,

"Bwana atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kimya."

there are no evil plans without a mistake.
 
Being in this land,!!!!? what a curse!!!? Shame on me!

Nimeamini kuna jamaa mmoja aliniambia kuwa "NI HERI KUZALIWA MBWA NCHI ZA ULAYA KULIKO KUZALIWA BINADAMU NCHINI TANZANIA"

Maneno yake ni ukweli maisha ya Mtanzania hayana thamani kabisa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
yaani mambo yote kila mtu anasema tumwachie Mungu, jamani Mungu ana kazi nyingi , hili la ulimboka tulimalize wenyewe hebo!
 
Tulisha sema Raisi Jakaya Kikwete ni anatabia za kishetani, jini pepo baya na ndiyo maana haishi mlingotini anachotaka kuifanyia nchi hii kitamrudi mwenyewe angalie wenziwe wakina Gaddafi,Sadamu,Mubaraka walikuwa na nguvu za giza kama zake ,sasa wanataka kuua daktari mwingine

sasa hapa "JK" amehusikaje?
 
kama hii habari ni kweli basi huyu mlinzi lazima apate msuko suko kama si kupotezwa kabisa!,

walishasema ''...kama mbaya ..mbaya!''
Of course that was likely to be their plan.
after witnessing he would have been of no use, cut loose threads.
 
Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.
Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.
Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.
Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.
Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.
Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.
Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.
My Take:
Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.

hii habari kakupa nani... usalama wa taifa hawawezi waka mu approach mtu kienyeji hivo na hata huyo mtu kama likuwa approached si rahisi kutuoa taarifa hadharani SABABU atahofia maisha yake ..

without any source hii habari yako ni garbage .. UONGO!.. PELEKA KWA SHIGONGO
 
Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.
Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.
Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.
Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.
Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.
Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.
Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.
My Take:
Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.
Hawa watu ni janga inatakiwa kubadili the whole system ili kupata watu waadilifu, kwa nini tuwe na wtu wa kutesa na kuuwa wenzao bila sababu za msingi wamejigeuza majaji!!!!

Back
Top Bottom